GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 7,068
- 16,381
Uchovu umechangia sana.Tulikuwa tuna loose possession hatari.
Tupumzike hata week 1.Uchovu umechangia sana.
Toka tulipocheza Feb 1 hadi leo hapo kati tumecheza mechi 6.
Including Barcelona away na home.
Huku Newcastle wamecheza mechi 3 tuu.
Kwhy sijashangaa NU kumiliki mpira namna hiyo.
Licha ya umiliki wote huo, wame manage 2 Shoots on Target.
Ten Heisenberg View attachment 2531045
Yap.Tupumzike hata week 1.
Hii fatigue itakuja kutuumiza siku moja.
Kocha wa makombe
Ukiwapumzisha ni mwanzo wa kuharibu moto wa wachezaji acha wacheze atakaye choka atakuwa substitutedYap.
Mechi ya West Ham inabidi apumzishe first eleven yote.
KamchukueHuyu Wout na Aboubakar Vincent namchukua Vincent
Msouth afrika simuoni hapoErik ten Hag lifts the cup with his backroom staff
#CarabaoCupFINAL
#TrustTheProcessETH
#UnitedfortheFans
#GlazerOUT
#GGMU
man utd |View attachment 2531055
Timu imekuwa disciplined sanaUchovu umechangia sana.
Toka tulipocheza Feb 1 hadi leo hapo kati tumecheza mechi 6.
Including Barcelona away na home.
Huku Newcastle wamecheza mechi 3 tuu.
Kwhy sijashangaa NU kumiliki mpira namna hiyo.
Licha ya umiliki wote huo, wame manage 2 Shoots on Target.
Mwandiko wa PTER, ni wewe mkuu?Kamchukue
Sioni hilo likitokea.Yap.
Mechi ya West Ham inabidi apumzishe first eleven yote.
According to Fred Casemiro alikubali kuja Utd toka May, usajili wake ulikua hauhusiani na FDJ wala Rabiot.Mama yake Rabiot alisababisha tukampata casemiro asingeweka tamaa tungenasa kwa Rabiot Frenk De Jong ni mchezaj mzur ila tusingefika hapa tulipo bila ya kuwa na casemiro bado tunashukuru yule dogo kutupiga chini katuepusha na mabalaa
Leo tunasheherekea ubingwaView attachment 2531058
nguvu ya Casemiro injini ya timu
Spider anakutazama ile unafanya next move anakutamba tackle unaend hukoWale ambao walikua wana doubt AWB qualities, mmeona Allan saint Maximin alivyoekwa Mfukoni? Mtu ambaye kamtesa sana Dalot imebidi atolewe baada ya kucheza dakika kadhaa na AWB.