Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Huyu WERGHOST nadhani baada ya mechi analala amechoka sana. Kumbe anapangwa kimkakati sana haruhusu adui awe na mpira na ajipange kuanzisha mashambulizi au kutoa pasi ya maana, muda wote yuko mahali mpira ulipo. Anawapa shida sana wapinzani. [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Ten hag ni genious, niambie ni kocha gani amewahi kusajili striker wa kufanya hivyo? Na mwanzo wengi wetu tulikua hatuoni umuhimu wa Werghost kwenye kikosi tukitaka awe anafunga tu
 
Once again hadi sasa naanza kuamini wewe ni mchawi sio bure [emoji114][emoji114][emoji114]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…