Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Midomo mmejaliwa
Lisandro Martinez after the game:

“If I tell you what Ten Hag said [during half-time] I can’t say on camera haha…. he challenged us, he challenged us because we didn’t look like as a team and what we’ve been doing in the first half, not with energy and of fighting…”

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Hii nzuri yani tufanye parade kwenye Carabao tutachekwa

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
United tamu jamani, dah
Dah, jana nilikua maporini nasikitika kuukosa huo utam.
Hapa nimeingia YouTube nimeangalia game hakika kwa sasa timu tunayo.

Kwangu mchezaji alie kuchafua zaidi ni mwamba Fred.
Ila naendelea kusisitiza, huo mzimu wa kizaramo hauna issue, ni bora kocha aliushtukia akautoa mapemaa la sivyo tungepoteza game hiyo.
 
Timu pekee ambayo inaweza kuifunga MANCHESTER UNITED ni hichi kikosi

E van der sar
Vidic
Evra
Hargreaves
Tévez
Brown
Ferdinand
Scholes
Carrick
Ronaldo
Rooney

Sub
Kuszczak
Anderson
Giggs
Fletcher
O'Shea
Silvestre
Nan

Kocha
Sir Alex Ferguson
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…