Niliiamini na kuliunga mkono lile wazo la Ralf Rangnick la kuuza wachezaji wote na kuanza upya.
Kuna wachezaji niliwakatia tamaa kabisa. Nilitaka wauzwe wote ila leo wamegeuzwa kuwa key players.
Nilimshangaa Ten Hag alivyosema wachezaji wanamfaa. Leo kawageuza wote kuwa lulu.
Ten Hag ni genious. Huyu jamaa angepata wachezaji wazuri anaowataka msimu huu, tungechukua Quadruple kilaini kabisa.