Mr Confidential
JF-Expert Member
- Jul 1, 2018
- 1,545
- 2,479
[emoji115]Huu mtindo wa kurudisha mpira Kwa kipa unatugharimu sana
[emoji115]Huu mtindo wa kurudisha mpira Kwa kipa unatugharimu sana
Dah...Bruno leo yuko vibaya sana
Yap..na BrunoWergost na sancho watoke
Nilitamani sana kumuona Sabitzer na Casemiro pale kati.
Pamoja na ujinga wa bruno, penalt nyepesi sana ile. Nilikuwa nasikiliza hapa commentator anashangaa refa anataka kufanya nini, alikuwa haamini kama inaweza kuwa penalt.Bruno kafanya kosa la kijinga sana
Upo wapi mkuu?Da tanesco wameukata umeme
Wewe mjinga una shida na Fred. Kati ya Fred na Casemiro nani kapiga sana kazi hapo kati mda mpaka saa hii?Hii combination pale kati , barca wanamiliki dimba kati, itabidinfred apungue
MabiboUpo wapi mkuu?
Mkuu we unaangalia mechi gani iyo ambayo Man U hamiliki mpiraHi timu kumiliki mpira haijui Cha ajabu mashabiki wake wanalalamika eti wamezidiwa Kati
Hi timu inasubiri miujiza ya rashidi na iwe inshallah otherwise majanga
Nyingi tu Moja wapo hii ya barcelonaMkuu we unaangalia mechi gani iyo ambayo Man U hamiliki mpira