Fred wangeacha aingie kipindi Cha pili anakichafuaga hatari kuliko akianza.View attachment 2527850
Alichoma sana aiseeHuyu Wan Bissaka Siku ile Alikuw Anachoma Tu
Nafuu huyu kuliko Dalot.Huyu Wan Bissaka Siku ile Alikuw Anachoma Tu
Hii ni km fainaliKuna uwezekano mkubwa wa kunyanyua kwa Europa iwapo United itasonga mbele dhidi ya Barca leo usiku, Wapinzani waliobaki hakika tunawamudu kwa kila kitu.
Usimsahau FredBarca leo watakuja wamekamia, wasiwasi upo lkn inabidi game tuitake from the beginning, naamini tutashinda na silaha kubwa yetu ni kwenye kiungo, naombea wawe na siku nzur kazini. CASE-BF-SAB
Nafuu huyu kuliko Dalot.
Mwalimu amekataa kubet hii partnership
Nilitamani sana kumuona Sabitzer na Casemiro pale kati.