Jersey za msimu wa 2023/2024
BEI…25000
0788929673
midfield ya barca leo: De jong-Biskuti-KessieBarça watawakosa hawa madogo pale kati,View attachment 2527629
Kina bruno wakitumia hii chance vyema hakika matokeo chanya yatapatikana.
midfield ya barca leo: De jong-Biskuti-Kessie
Tukitoboa mechi ya leo (na Barca) na Ile ya jumapili (final ya carabao na Newcastle) nitamnyooshea mikono ETH.
Hizi match zinanipa wasiwasi kwa kweli. Naona kama wachezaji wamekua na overconfidence [emoji23]
Huna mpira wa kumfunga Arsenal ambaye tayari majeruhi wake Jesus , Partey ndio wamerudi,narudia huna timu ya kumfunga Arsenal ,mechi ya mwisho ilionesha gepu baina ya hizi timu 2Kuna uwezekano mkubwa wa kunyanyua kwa Europa iwapo United itasonga mbele dhidi ya Barca leo usiku, Wapinzani waliobaki hakika tunawamudu kwa kila kitu.
Acha ufala. We jamaa Arsenal inakupa uchizi kwasababu mnaongoza ligi.Wahuni Arsenal tunawangoja kuanzia round 16
Kama mnahisi kwenye ligi ule mpira tuliwanyanyasa ,omben mpite Leo halafu mpangwe na Arsenal hii ya Pass 700 na magoli ya kutosha
Acha hasira kijana ,Arsenal tunawangoja muuane kwenye playoff ,Acha ufala. We jamaa Arsenal inakupa uchizi kwasababu mnaongoza ligi.
Huu muda unaotumia kuja kuandika utumbo hapa jaribu kuutumia kuongeza knowledge yako kwenye football pia fuatilia sheria za mshindano timu yako inayoshiriki.
Sawa!Acha hasira kijana ,Arsenal tunawangoja muuane kwenye playoff ,
Labda wewe ndio hujui sheria za mashindano
Utamaduni utamaduni utamaduni
Fred wangeacha aingie kipindi Cha pili anakichafuaga hatari kuliko akianza.View attachment 2527850
Alichoma sana aiseeHuyu Wan Bissaka Siku ile Alikuw Anachoma Tu
Nafuu huyu kuliko Dalot.Huyu Wan Bissaka Siku ile Alikuw Anachoma Tu