kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 7,794
- 20,738
tofauti kubwa. Wananunua team ambayo iko epl si league ya uarabuni. Team iko UK, na UK ndio policy maker, wao ni investor tu. Lazima wawnsane na sheria zilizop
A gap of capacityEtH on the wheelView attachment 2526343
WamemnyimaMwarabu apewe timu
Kampeni mpya hii baada ya "bado hajafukuzwa tu" [emoji2]Mwarabu apewe timu
Hannibal Majebri anauwasha huko birmingham citySummer tunahitaji proprer RB
Tunahitaji replacement ya Casemiro,,, mmeona Ni jinsi gani ile red ilitugharimu, je ikitokea amepata majeraha ya muda mrefu ?
Sabitzer tungebaki nae asaidiane na Ericksen ,,, tubonge na Bayern watuuzie jumla !
Tunahitaji proprer CF , wout ataondoka mwisho wa msimu !
Pia walau CB mmoja wa kumchalenge varane(anapata injury Mara kwa Mara)
Kuna magarasa ya kusepeshwa
Jones
Martial (anafaa kuwa back up lakini Ni injury prone )
Dalot/AWB mmoja asepeshwe, !
Lindelof ni midterm player
Maguire kwa umri ule hawez kuimprove Tena
Scotty,,at 26 habadiliki Hana jipya asepe timu za levo zake !!!!!
Kina amad, kobemainoo, Zidane, facundo Ni potential, taratibu wanaingia kwenye first eleven!
Kwa United ya sasa Wout hawezi kukaa nje. Ila kwa sababu umesema ni "my starting XI" acha tuishi hivyo.Matchday..GGMU
=========
My Starting XI vs Barcelona
=========
De Gea
AWB Varane Martinez Shaw
Sabitzer Casemiro Fernandes
Anthony Rashford Sancho
======
Kama Anthony hayupo fit
Sabitzer Casemiro Fred
Fernandes Rashford Sancho