Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Jana mapumziko wanatoa stats Epl jamaa alicheza Nyuma kuliko Fred na Sabitzer. Upo on point mkuu Jamaa anafanya Wachezaji wa pembeni wa Shine,
 
Kuna assist aliitoa sema tu ikawa offside daah ilo jini acha kabisa
 
Jana mapumziko wanatoa stats Epl jamaa alicheza Nyuma kuliko Fred na Sabitzer. Upo on point mkuu Jamaa anafanya Wachezaji wa pembeni wa Shine,
Na ndio maana hata akinyimwa pass humuoni akifoka kama Ronaldo yaani utamuona anatabasamu tu coz anajua jukumu lake kuu sio kufunga na mwenzake akifunga anashangilia kama kafunga yeye.
 
Na ndio maana hata akinyimwa pass umuoni akifoka kama Ronaldo yaani utamuona anatabasamu tu coz anajua jukumu lake kuu sio kufunga na mwenzake akifunga anashangilia kama kafunga yeye.
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Hata mimi naona kama watampiga chini ili kuendeleza utamaduni wa Kiingereza kwa kuhofia Mwarabu kuleta mambo mengi ndani ya klabu..Manchester United ibebeba utamaduni wa Kiingereza.
London Asilimia Kubwa ni Biashara za Qatar, Dubai, Saudi na India. Unless Mashabiki wanaoenda kwenye Mechi wakatae watampa timu. Mwisho wa Mwezi tutajua nani na nani wapo kwenye mbio
 
Mkumbuke anayeiuza hiyo timu sio muingereza na ni mfanyabiashara.
Kuna mambo mengi ukitoa mmiliki (mmuzaji) na mnunuzi. Manchester United ni biashara ipo ndani ya UK. United ni nembo ya soka la Uingereza, tumeshaona nguvu ya serikali kwa club kama Chelsea na mmiliki wao aliyepita ni ishu za kisiasa ndiyo zilifanya auze timu kwa lazima. Hili suala siyo la matajiri tu serikali na siasa zake pia watajichomeka hapa.

Mimi nataka timu apewe muarabu bila kizuizi chochote na sisi tufaidi "oil money" [emoji2]
 
Hata mimi naona kama watampiga chini ili kuendeleza utamaduni wa Kiingereza kwa kuhofia Mwarabu kuleta mambo mengi ndani ya klabu..Manchester United ibebeba utamaduni wa Kiingereza.
Haya mambo magumu sana, kwanza muarabu akipewa timu itabidi akubali timu yake ishiriki The Rainbow Laces campaign ambayo ni lazima kila mshiriki wa Premier League a-support LGBTQ community.

Sasa kwa ule mtiti walioleta Qatar kwenye World Cup kupiga vita LGBTQ bado wanataka wapewe timu ambayo inaenda kinyume na wanachokiamini.

Hapa ndiyo ile kauli ya "maisha bila unafiki hayaendi" itabidi itumike.
 
Inabidi kuwe na backup ya DeJong kama akija kuzingua tena.

Hatuwezi kimbiza mchezaji mmoja dirisha zima halafu tunakuja ambulia patupu.

Tuwe na options kama 3 hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…