Hakuna hukuSisi tunaotumia cable tunakula raha sana, shilingi 12000 kwa mwezi unaangalia mechi zote.
Chief-Mkwawa , huko kwenu darisalama hakuna kampuni za cable tv?
- Simba ndani ya canal sports
- Yanga ndani ya bein sports
- Premier league
- La liga
- Serie A
- Ligue 1
- Europa
- Champions league
- Fa
- Carabao
- N.k
Mpaka mwenyewe nimeshangaaKuna maajabu fulani kayafanya ETH kwa Wan Bissaka huwezi amini, noma sana
Yes tanga ni zaidi ya miaka kumi sasa wanatumia cable....Kwetu Tanga Cable zipo ila zinapigwa pin mara kwa mara na kina dstv
Yote hayo, ulazima wa kupata mlinzi mahiri wa kulia unahitajika.Mpaka mwenyewe nimeshangaa
Zamani Wan Bissaka ku turn tu mtihani aisee, pasi ndio utachoka kabisa, sasa hv jamaa anapiga na vyengaAisee nakubaliana na wewe siku anaupiga mwingi sana yaani one two one two na kulamba watu chenga siku hizi kwake ni kitu cha kawaida tu.
Kuna watu wao wanayale mawazo ya kizamani kwamba ukiwa forward kazi yako ni kufunga. Of course kazi ya forward ni kufunga lakini naamini kazi kubwa Werghorst aliyopewa pale man u na ETH sio kufunga.Wegost jini lile ingawa watu wanalikataa tu
Dynamics za mpira wa sasa zinawafanya baadhi ya mashabiki waonekane vilaza.Kuna watu wao wanayale mawazo ya kizamani kwamba ukiwa forward kazi yako ni kufunga. Of course kazi ya forward ni kufunga lakini naamini kazi kubwa Werghorst aliyopewa pale man u na ETH sio kufunga.
Kapewa kazi ya kupress kukaba na kuokoa pale inapobidi ndio maana ukimuangalia mda mwingi anakimbua kimbia na hii humfanya kuchoka hata pale anapopokea pass za kufunga anakuwa na pumzi chache. Naamini angekuwa hatimizi kile mwalimu amemtuma sasa hivi angekuwa anakalia bench.
Toka Zaman AWB anajua kupiga chenga, alicho improve sasa hv ni decision makingZamani Wan Bissaka ku turn tu mtihani aisee, pasi ndio utachoka kabisa, sasa hv jamaa anapiga na vyenga
Tuna Struggle sana Bila Case na Eriksen, Fred na Sabitzer sio wa Kuanza pamoja, Quality zao zinafanana, kama jana isingekua De Gea 1st half ni majanga,What does this tell you?View attachment 2523720
Na hichi ndicho kilichomfanya Ronaldo ashindwe kuperform mechi za kiushindani kwa sasa japo yeye haamini kwamba umri umemtupa na nguvu hana tena akaishia kututukana tu man pamoja na kocha.Dynamics za mpira wa sasa zinawafanya baadhi ya mashabiki waonekane vilaza.
Mpira wa sasa unamfanya mchezaji awe na roles hata 4 uwanjani.
Beki anasajiliwa asaidie wings na striker anatakiwa kudefend.
Sabitzer ni mzuri kuliko Fred jana Fred alizingua sana yaani alikua anachelewa kutoa pass na akitoa anapasia adui, kiukweli kuliko Fred mimi huwa naona ni bora Mctominay na hata alipoingia jana timu ilitulia.Tuna Struggle sana Bila Case na Eriksen, Fred na Sabitzer sio wa Kuanza pamoja, Quality zao zinafanana, kama jana isingekua De Gea 1st half ni majanga,
Kama ulikuwa unamuona ETH jana alimind sana muda wote anatingisha kichwa.
Dirisha lijalo nahisi mbio za FDJ zitaanza tena.
Quality zinafanana mkuu, hata Sabitzer uwezo wa pasi ni wa kawaida tu, Wote Fred na Sabitzer ni Midfield wenye Energy wanakimbia mda wote, wanakaba na kuharibu mipango ya wapinzani ila hawana uwezo wa Kudictate midfield, kutoa pasi za mwisho na kuretain possesion.Sabitzer ni mzuri kuliko Fred jana Fred alizingua sana yaani alikua anachelewa kutoa pass na akitoa anapasia adui, kiukweli kuliko Fred mimi huwa naona ni bora Mctominay na hata alipoingia jana timu ilitulia.
Labda kipindi hajaja Man U aiseeToka Zaman AWB anajua kupiga chenga, alicho improve sasa hv ni decision making
Hapa hapa Man U, alikuwa anadrible anapita watu akifika mbele anastop kisha anapiga pasi ya nyuma.Labda kipindi hajaja Man U aisee