Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hili jamaa nalo la wapi..unamjua Shaw wewe kweli?
Shida yako kubwa huwa ni kuhisi unaujua mpira kuliko wenzako kumbe ni mlala hoi tu, na hili ni tatizo nililoliona kwako tangu zamani ila nadhani wadau humu huwa wanakupuuza.

Shaw ni mzuri kwenye kupeleka mashambulizi mbele (hilo linajulikana) ila kwenye swala la ukabaji hana hayo maajabu yoyote unayojaribu kutuaminisha hapa, hasa anapokutana na mawinga teleza (ndiomaana nikasema nae ni msindikizaji mzuri tu)

Kaangalie ile game yetu na Arsenal uone alivyokuwa anamsindikiza Saka golini.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yupo sahihi msindikizaji sana. Utakuta wametoana katikati mpaka golini.

Angalia Leicester mwanzoni.
Huyo jamaa ni mpumbavu sana ila bado hajajijua.

Shaw ni mzuri team ikiwa inashambulia, ila kwenye kukaba huwa anasindikiza sana anapokutana na mawinga wanaoijua kazi yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
24 goals and 8 assists this season for Marcus Rashford, unbelievable form — also a goal in 7 consecutive games @ Old Trafford
󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 #MUFC

“We can’t lose him, of course — we’re working to extend his contract”, Ten Hag said today.

#TrustTheProcessETH

#GlazerOUT

#GGMU


man utd |
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…