Hili swala ungelisema miaka miwili nyuma ningekubali. Ila siyo leo, mentality ya ushindi ipo juu sana kwenye hichi kikosiJana ulizuia haja kubwa kumbuka
[emoji23][emoji23]Kuna tecno hazina quality ya camera hii
Kosi la leo nina mashaka na upande Wa Dalot na Lindelof
Mimi na wewe sijui mkuu japo kijana anaonyesha impact kubwa sana akiwa uwanjani.Kosi la leo nina mashaka na upande Wa Dalot na Lindelof
Lindelof tatizo lake anasindikiza mpaka kwenye box, angekaa wan bissaka badala ya Dalot. Hakuna kusindikiza.
Gernacho kama kawa akianza majanga, ngoja tuone.
Why hawamfikirii facudo
Hakuna muda wa kumuweka mchezaji wa majaribioKosi la leo nina mashaka na upande Wa Dalot na Lindelof
Lindelof tatizo lake anasindikiza mpaka kwenye box, angekaa wan bissaka badala ya Dalot. Hakuna kusindikiza.
Gernacho kama kawa akianza majanga, ngoja tuone.
Why hawamfikirii facudo
Maana yake bila Pope hatuchukui ubingwa?Hua napenda mkishinda mechi kadhaa mnaanza kudai mpo kwenye title run.
Pope ni kiazi, alichofanya jana mkikomaa kitawapa carabao
Huo upande ni shida ,akianza mmoja huchelewi kumkumbuka mwenzie wa bechi na kuona afadhali angeanza yeye siku naye wa benchi akianza utaona ni takataka kabisa..Angalao leo kikosi nimekipenda. DALOT tu ndio doa.
Lindelof haaminiki hata kidogo..Kosi la leo nina mashaka na upande Wa Dalot na Lindelof
Lindelof tatizo lake anasindikiza mpaka kwenye box, angekaa wan bissaka badala ya Dalot. Hakuna kusindikiza.
Gernacho kama kawa akianza majanga, ngoja tuone.
Why hawamfikirii facudo
Kocha ana tabia ya "kutunza" wachezaji kwa ajili ya mechi ijayo. Naona Bissaka na Varane wametunzwa kwa ajili ya BarcelonaKosi la leo nina mashaka na upande Wa Dalot na Lindelof
Lindelof tatizo lake anasindikiza mpaka kwenye box, angekaa wan bissaka badala ya Dalot. Hakuna kusindikiza.
Gernacho kama kawa akianza majanga, ngoja tuone.
Why hawamfikirii facudo
Huo upande ulikuwa una wahuni wanaitwa Rafael na Neville kwa nyakati tofauti hao ndio wali-fit sana.Huo upande ni shida ,akianza mmoja huchelewi kumkumbuka mwenzie wa bechi na kuona afadhali angeanza yeye siku naye wa benchi akianza utaona ni takataka kabisa..
Usikimbie na kichupi mkononi tu, pindi mabingwa wa tarajiwa tutakapo mfanya kitu mbaya Leicester city