Wakati mashindano ya Carabao Cup yanaanza msimu huu alikuwa mchezaji wa Man United kwahiyo jina lake likasajiliwa kwenye kikosi kitakachoshiriki Carabao Cup kama mchezaji wa United, pia alicheza mechi mbili.Hapa sijaelewa, so ni mchezaji wa NC united ila tukichukua Kombe anavaa medali, how?? Na kama Wao Newcastle wakichukua bado atavaa medali??
Malengo ya muarabu uingize fans laki mojaUingize mashabiki hata 90,000
Wenzetu hayo Malengo ya watu laki moja, mmeyatoa wapi.??Malengo ya muarabu uingize fans laki moja
Dah, changamoto. Imagine Newcastle wamelose afu jamaa anaingia na medali[emoji23][emoji23][emoji23]Wakati mashindano ya Carabao Cup yanaanza msimu huu alikuwa mchezaji wa Man United kwahiyo jina lake likasajiliwa kwenye kikosi kitakachoshiriki Carabao Cup kama mchezaji wa United, pia alicheza mechi mbili.
Newcastle wakishinda hatapata medali ya mshindi kwasababu jina lake halipo kwenye kikosi cha Newcastle kilichosajiliwa kwenye Carabao Cup.
Habari kubwa hii. Quatar wapo serious kuinunua United.View attachment 2521118
Hawa wote watasepeshwa endapo muarabu atachukua hii timu, wachezaji wa timu ndogo kasoro de gea.Umenena vema mkuu ila tatizo la fred ni muendelezo tu. Wiki hii amesifiwa kwa kiwango bora ila hutarajii kuona kiwango kama hicho mechi ijayo.
Marcus kiaina anaondoka kwenye hii hali ya kudumisha kiwango chake siku hizi ingawa ni kwa kiasi fulani.
Usishangae Leo jion wakajitoa kwenye mbio za ubingwa ,wanachekesha sanaHua napenda mkishinda mechi kadhaa mnaanza kudai mpo kwenye title run.
Pope ni kiazi, alichofanya jana mkikomaa kitawapa carabao
Nyie ndiyo mnachekesha, yani City awe kwenye mbio za ubingwa halafu sisi tusiwepo? Nyie subirini kwanza muende Etihad.Usishangae Leo jion wakajitoa kwenye mbio za ubingwa ,wanachekesha sana
Kuna tecno hazina quality ya camera hiiThe OldTrafford after bombing in 1945
#TrustTheProcessETH[emoji1179]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]
man utd |View attachment 2522781
Jana ulizuia haja kubwa kumbukaHua napenda mkishinda mechi kadhaa mnaanza kudai mpo kwenye title run.
Pope ni kiazi, alichofanya jana mkikomaa kitawapa carabao