Manchester United (Red Devils) | Special Thread

BREAKING: Jim Ratcliffe submits bid for Manchester United via Ineos. Billionaire born locally to the club aiming to "put the Manchester back into Manchester United", according to sources close to the bid. The offer is for full takeover.
Sources close to the Ratcliffe bid also say that any money borrowed to fund the takeover of Manchester United will be borne by the INEOS group, rather than the club, meaning no fresh debt will be added the
#mufc balance sheet.
 
Wazee kati ya sir jimmy na hawa qatar nani anatufaa zaidi
Sir Jimmy ni shabiki wa United, na mwenye pesa zake ... zaidi ya Glazers, ila kwa mahitaji ya United pesa yake ni ndogo

Pia huyu Sir Ratcliffe anamiliki timu ya Nice ya Ufaransa, na hajaifanyia makubwa kiviiiile

Quatar wana pesa na wapo tayari kumwaga pesa. Hawa matajiri wana ukwasi kuliko hata matajiri wa Man City

Huyu tajiri aliyeweka bid ya kuinunua United (Sheikh Al Thani) ni shabiki lia lia wa United

Sasa unaweza kuchagua anayetufaa zaidi
 
Mashekhe uchwarwa wa huku wanasema mpira ni dhambi na ni ufreemason😣😣😣😣😣
 
Huyu msanii ni season ticket holder wa Chelsea.

Huyu ni Glazer 2.0.
 
Sir Jimmy ni shabiki na seasonal ticket holder wa Chelsea.

Anainunua United kwa mkopo which is equal to Glazers.

Details za bid ya Qatar ni Jaw dropping good. Naachaje kukataa deal nono kama hilo umpe huyo msanii Ratcliffe?
 
Sir Jimmy ni shabiki na seasonal ticket holder wa Chelsea.

Anainunua United kwa mkopo which is equal to Glazers.

Details za bid ya Qatar ni Jaw dropping good. Naachaje kukataa deal nono kama hilo umpe huyo msanii Ratcliffe?
Ni kweli Sir Jimy alitaka kuinunua Chelsea, ila ni shabiki wa United ... mengine ni siasa za kuchafuana katika vita ya kutafuta umiliki wa United

Ukweli ni kwamba Quatar anakubalika zaidi na mashabiki kwa sasa, sababu wengi wanaamini Sir Jimy ni Glazers mwingereza (hana hela ya kutosha & ataendelea kuifanya klabu kuwa na madeni na atakuwepo pale kibiashara zaidi)

Quatar wamepanga kununua klabu bila kukopa sehemu yoyote, kuukarabati uwanja wa OT na Carrington, kuweka miundombinu rafiki katika maeneo yaliyo karibu na Manchester United

Kubwa zaidi, wapo tayari kumwaga minoti katika kuimarisha kikosi cha United
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…