Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Magoli yake mengi ni Mungu nisaidie piga nikupige, huwezi kutisha ulaya ukiwa na forward kama rashford, ngoja waarabu wachukue timu tusajiri wachezaji, sio hawa sijui fred, sijui Sancho uchafu mtupu.
Hivi wewe unaujua kweli mpira? soccer? Uliwahi kucheza?
 
Maajabu,
one of the top performer msimu huu halafu unasema ana bahatisha.
Basi na wew kacheze ST pale OT, ubahatishe hata goli 10. Utatusaidia sana maana hatuna ST.
 
Kusema kweli sikuwa na uhakika kama man utd angepishana na Barca hivi,nimefarijika sana na project ya EtH.

Hata anapokosekana mchezaji mmoja muhimu bado timu haikosi mwelekeo kama zamani na kuwa kichaka cha kufichia ubovu wa timu nzima na/au mwalimu. Interview zake anaanika mapungufu yaliyopo,ila yule rafiki yake DAEMUSHIN angeisha anza mambo ya "the boys..."

Huyu Erik tumpatieni mkataba mapema kama tajiri miluzi hajaweka dau maana keshasajili kila idara kasoro mwalimu ili timu kwake.
 
Hii timu mara ya mwisho kutufunga 2008.

Miaka kumi na tano iliyopita.

Mna haki kushangilia draw ya jana.
 
Hii timu mara ya mwisho kutufunga 2008.

Miaka kumi na tano iliyopita.

Mna haki kushangilia draw ya jana.
United kufungwa na Barca siyo kitu cha ajabu lakini kiti anachokaa Barcelona basi pembeni yake yupo United.

Barca ya miaka hiyo unafungwa unakubali kabisa tumezidiwa, mara ya mwisho kabla ya jana tumekuja Camp Nou na kikosi kibovu huku ile Barca yenyewe ikiwa ndiyo inaishia. Hii Barca ya sasa ya kawaida tu kama ilivyo United mpaka tunakutana Europa.

Timu kama Madrid ilikuwa level moja na Barca na United lakini uongozi wa hizi timu mbili ukazipoteza na sasa tunarejea.

Kufungwa na timu bora si ajabu lakini siyo Barcelona hii 😁 njooni Old Trafford tuwape tiketi ya kurudi Spain mpambane na mbio za ubingwa.

Halafu, nani jana kaitafuta droo? 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…