Mpeni sifa zake tuu jamaa anapambana ila kafunga goli gumu kwelHuwezi tegemea wachezaji wenye mentality za kitoto wakupe ubingwa.
Rashford alitakiwa aongwe na striker mwenye mentality ya kiutu uzima.
Binafsi huwa sinaga imani kabisa na Rashford. Naona kama ana akili za kitoto sana.
Dah jamaa unachuki na Yanga wewe, ukaona bora uongope kuliko kuitaja Yanga [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii style of play ya barca kwa sasa dunia nzima wanaicheza mpaka simba sports.....wanahitaji mbinu mpya kuja kutawala soka la ulaya
Mbappe umfananishe na rashford [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii ndio tofauti kubwa Kati yake na Mbappe ,ila leo nimependa ile chansi ya kwanza aliyoikosa jinsi alivyojikunjua vizuri .
Kwa Rashford naona ameiprove sana ,ukimuuliza kocha yeyote kwa sasa anapenda kukutana na Man U lazima amuhofie Rashford , akishika mipra karibu na eneo la box lazima hatari itokee kwa wapinzani na yuko vizuri katika kufanya maaamuzi sahihi .Mpeni sifa zake tuu jamaa anapambana ila kafunga goli gumu kwel
Rashford akituliza mawenge ni bonge la player wa kiwango cha juu kabisa aana kila kitu mguuni kwake tena sasa anvyofunga confidence inazidi kuongezeka..Mbappe umfananishe na rashford [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mamaaae washabiki mna majibu ya kikuma.UMejibiwa na upuuzi wa Bisaka
Jamaa hata anasaidia kukaba hata hivyo mimi nina natumaini makubwa pale bado hatujapigwa hata kidogo ila ushirikiano mdogo anapata uwanjani.Weghost amuongezee mganga wake malipo maana sio kwa kumpumbaza hvyo Ten Haag
Sent from my CPH2159 using JamiiForums mobile app
Gemu kama ya leo piga nikupigie mara ya mwisho kuiona ilikuwa Fainali mwaka jana Qatar France Vs Argentina ..Ukiingia YouTube nadhani highlight ndogo kabisa kwa hii gemu ni dk 40
Ngoja aje OT kwetu bila gavi😁na mtoto mwenzieYani Barcelona tunaweza sema wamekwisha yani the butcher hakuwepo na wajatupiga goal za kutosha tuonane mashindano mengine Fc Barcelona.
Angalia akipewa mpira hawez kuhold anapokonywa kiurahisi..Karibu timu nzima W.Ghost hata akae position nzuri hawampi pasi .
sina shaka na Udoctor wakeKwa Rashford naona ameiprove sana ,ukimuuliza kocha yeyote kwa sasa anapenda kukutana na Man U lazima amuhofie Rashford , akishika mipra karibu na eneo la box lazima hatari itokee kwa wapinzani na yuko vizuri katika kufanya maaamuzi sahihi .