Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wachezaji wa Manyumbu Utd ndio hawa;

Antony; Mchezaji wa you tube,huyu alitakiwa kununuliwa kwa mil 12 tu Ila wajinga walipagawa na mbwe mbwe zake za you tube wakaamua kumnunua kwa mil 100.Huyu Hana lolote la kusaidia time kazi kukimbia na mpira kwenye touchline na kunyang'a nywa.

Casemiro; Huyu kashazeeka kazi kukaba Koo za wenzake na kuadhibiwa hovyo hovyo

Martial; Alishajichokea huyu kazi kukimbia na gloves mikononi tu, huwa hashiriki mechi ila anaongoza kwenye kuuguza majeraha

Rashford; Haka nako kanapata chances nyingi za kufunga magoli ila Ni kazinguaji balaa.Out of 10 goal chances kanaweza funga goli Moja tu.

Maguire; Kupiga blind passes na kujipiga own goals hajambo😂
Ni mmoja Kati ya madefender wa hovyo kbsa kuwahi kucheza kwenye EPL.

Luke Shaw; Mr injury, huyu hawezi kucheza mechi kumi mfululizo kabla hajaenda kwenye mkeka

Werghost; huyu Hana maajabu kazi kukimbia kimbia tu uwanjani
 
Martial ni wa kuuzwa aisee..kila siku pancha..na akipona anacheza kama ana
usingizi.
Jamaa huwa kama anacheza na akili zetu Pia nakumbuka kuna kipindi cha OGS walimsema sana wachambuzi kuwa hajitumi anaingia kwenye mechi anatoka Pensi na Rumba lake safi, baada ya hayo maneno alipotoka majeruhi akakiwasha sana nazani nikipindi kile kanyoa upaa mpaka tukasema si ndio martial huyu atatuokoa na msimu ujao kumbe ...... ila inafaa aende tu.
 
Jamaa career yake kama inamalizika akiwa mdogo sana tena kwa aibu.
Sio mdogo kiumri labda kimpira kwa sasa ana miaka 27. Umri wa mchezaji kucheza ktk peak ni miaka 21 mpaka 29.

Umri wa kupata majeraha ya mara kwa mara ni miaka kuanzia 30, ndio maana utaona timu nyingi ulaya zina policy ya kutoa mikataba ya miaka miwili kwa wachezaji wenye umri mkubwa unless uwe na injuries history nzuri.
 
Hakufukuzwa aliresign.. alishindwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…