Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manyumbu kwa hiyo mliamua kujikatia tikeki ya kwenda kupigwa na Newcastle kwenye EFL final😂
 
Antony ni mtu hatari sana kwa upinzani... unaweza usione kama ni shabiki hoyahoya... Greenwood kama akirudi atengenezwe kucheza namba 9(false 9)
Hakuna haja ya kutumia pesa kusajili namba 9 kama magoli yanafungwa sahivi... man utd wasajili de jong au progressive midfield yoyote... wasajili beki namba 2... wasajili na LCB backup ya Lisandro... wasajili golikipa
 
Naona wanataka kumsajiri msambuliaji wa sporting Lisbon Didier kavumbagu
 
Antony ni mtu hatari sana kwa upinzani... unaweza usione kama ni shabiki hoyahoya... Greenwood kama akirudi atengenezwe kucheza namba 9(false 9)
Greenwood kam atamalizana na united sancho na antony namba hawana tena yule dogo ni hatari anatumia miguu yote yuko agressive san mnyumbulifu anapower anarud kumsaidia bek wakat tunashambuliwa dogo anakipaj san
 
[emoji599]The Glazer family is still hesitating between a complete sale and accepting a minority stake. Some members believe the club's value could skyrocket if Erik ten Hag brings lasting success on the pitch.

[ESPN]
#TrustTheProcessETH[emoji1179]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]

man utd |
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…