Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ilikuwa August 31 2021 wakati huo Sabitzer wa moto kweli ameenda Bayern lakini amekosa gametime.

Hata kwenye michuano ya Euro hakuwa kwenye ubora huo na world cup qualifiers hakuwa na ubora huo wa zamani.
Uli-cross kichwani kwangu baada ya kuona jina Sabitzer nakumbuka ulitaja sana jina lake kipindi cha nyuma. Dominik Szoboszlai ni ndoto yangu kumuona siku moja akivaa uzi wa United ana akili nyingi sana uwanjani.
 
Punguza ujuha na ushangingi si nimesema case closed mlikuwa na performance nzuri kama unavyotaka kujiaminisha au unataka nn
?
Upo sawa kweli, jibu lako ni tafsiri ya utu wako, unasafari ndefu kuufikia utu wako wenye hekima.
 
Naona tumesajili midfield, vp jamaa yuko vizuri na atafit kwa mfumo wetu? Au ni panic buy according to injuries
 
Chelsea the big Football Club (FC) and it doesn't matter what the current situations it is passing through hence every big FC has already been experienced in long term investment with what we call it "Transition period"
 
Ujio wa huyu jamaa utaongeza nini cha kutuweka top4? It seems umemfatlia sana.I wish to know more atafit vp kwenye kikosi chetu hususani kipindi hiki tunachohitaji matokeo tu?
Kuna vitu vingi Sabitzer ataviongeza kwenye kikosi chetu.
Physicality ni ball career mzuri tu, long range goals ni free kick speciality, anakaba sana lakini pia ni press resistant.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…