Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wapo Serious..

Sisi tunachelewaga sana kufanya maongezo kikosini..yaani ni hali hali iwe tete.
Ishu ni hela brother....
Kuna makala aliandika james ducker nikiipata nitaiweka, inazungumzia hali ya kifedha ya united na jinsi itakavyoleta athari katika soko la usajili ukijumlisha na sheria za UEFA
 
James Ducker: EXCL Unless #MUFC qualify for CL & sell WELL this summer, very unlikely Ten Hag will be able to sign a top striker & top midfielder given impact of Uefa’s new Financial Sustainability rules (plus strain put on cash flow by £307m owed on previous transfers)
 
Sure tukishindwana na Bayern itabidi dogo Zidane aaminiwe,, hatuna Namna !!!

Chelsea wanataka kutia mchanga kitumbua ,,,
Yule tajiri wa Chelsea yupo smart sana, alifanya season simulation kwa kutumia technical data against big 6 teams baada ya kununua timu akagundua hawana nafasi ya kumaliza ndani ya top 4. Sasa hivi anachokifanya anajiwahi kabla msimu haujaisha anajua fika wachezaji wengi anawasajili sasa hivi haitakuwa rahisi kuwapata majira ya kiangazi bila champions league at their disposal.
 
Chelsea tunaendelea tu kusumbua ulimwengu kwa kufuru za usajili.

Kimombo tuwaachie Arse8 ambao wanatamba na harakati za kunyanyua ubingwa wa EPL 2022 - 2023.

Liverkuku Fans ni mwendo wa kisandawe kuchambua karanga badala ya kuchambua mpira kwa kimombo chao kileeee.

Kweli kutesa kwa zamu na kila kitabu na zama zake [emoji4]
 
Acha kuleta upuuzi humu.
 
Acha ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…