Mechi mbili za mwanzo nlimkataa ila nmecheki marudio na hii gemu ya leo jamaa yuko vizur.. kama sancho akirud kwny ubora wake jamaa atafunga snAnafanya vizuri shida ni supply ndo hakuna
Mechi mbili za mwanzo nlimkataa ila nmecheki marudio na hii gemu ya leo jamaa yuko vizur.. kama sancho akirud kwny ubora wake jamaa atafunga snAnafanya vizuri shida ni supply ndo hakuna
Unajua mpira mpaka unakera [emoji106]Nipo nacheki gemu apa mpk dk hii... huyu weghost hana shida wadau shida ni winga zetu anthony na rashford wabinafsi sn hawamlishi mipira
Jamaa anajiposition vizur tu na movement zke nzur
Afadhali Rashid huyo Antony sasa mweee silly and selfish ni kheri akaweka pelistri ule upande[emoji460][emoji460]Nipo nacheki gemu apa mpk dk hii... huyu weghost hana shida wadau shida ni winga zetu anthony na rashford wabinafsi sn hawamlishi mipira
Jamaa anajiposition vizur tu na movement zke nzur
Nipo nacheki gemu apa mpk dk hii... huyu weghost hana shida wadau shida ni winga zetu anthony na rashford wabinafsi sn hawamlishi mipira
Jamaa anajiposition vizur tu na movement zke nzur
Usajili wa kocha huo €100mAfadhali Rashid huyo Antony sasa mweee silly and selfish ni kheri akaweka pelistri ule upande[emoji460][emoji460]
Lini Sancho aliwahi kuwa Bora hapo man uMechi mbili za mwanzo nlimkataa ila nmecheki marudio na hii gemu ya leo jamaa yuko vizur.. kama sancho akirud kwny ubora wake jamaa atafunga sn
Newcastle anabeba hii Carabao , man u hawezi kufungua defence ya NewcastleErik kafunga busta zote anataka hii iwe trophy ya kwanza
Huwezi Jenga timu tishio kwa kumleta Anthony Mpaka rangi kwa €100m na average Malacia#TrustTheProcessETH[emoji1179]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]
man utd |View attachment 2495752
Rashidi Makame Nalihinga, hahahahHii timu akiumia rashidi makame shughuli inaishia hapa
Man u watajikuta wanapiga marktime Hata ukimleta LewandowiskiMan U bado wanatatizo la namba 9