Kweli kabisa Jombaa. Dusan Vlahovic (23 yrs old) mwezi wa 6 yupo sokoni siwaoni Juve wakitoboa kufuzu UEFA champions league msimu ujao. (Juve wamekatwa alama 15 serie A)Binafsi siungi mkono suala la kumsajili Kane umri umeshaenda sana 30 years tutafute mtu ambae bado umri mdogo 22 hadi 25 walau
Frank sio kocha mzuri ila alikuwa overhyped sana na hana potential yoyote ile ya kuja kuwa kocha mzuri.View attachment 2490486
Miaka miwili iliopita niliandika comment hii.
Tulikuwa tunajadili safari ya makocha hawa watatu waliopewa majukumu makubwa ya kuziongoza timu tatu zenye mafanikio ndani na nje ya uwanja.
Don Clericuzio amepotea huku nikiwa na deni la ahadi kwake
- Frank lampard - akiwa chelsea
- Ole gunnar solskjaer - akiwa man utd
- Mikel arteta - akianza maisha ya ukocha hapo ARSENAL
Atakuwa kabadilisha IDHuyu jamaa hata jukwaa la liverpool simuoni kabisa wala uzi wowote humu JF.
Sijui ana maswahibu gani uko aliko!
Kitasa cha boli..
Mkiweka hii lineup sion mkitoboaMatchday..
GGMU.
Imagine being beaten up by Arsenal!!!...ni maumivu matupu.
Vijana wapambane.
======
My Starting XI
======
De Gea
AWB Varane Shaw Malacia
Fred Martinez Eriksen
Fernandes Rashford Garnacho
==============
Ni DM anaiweza hiyo nafasi ,lakini hatujaona msimu huu akitumika hiyo nafasi,
So sio mechi ya majaribio
Kane hana speed? kane hajui kuhold mpira? be better than this broIla kane sidhani kama anatufaa hebu tutafute watu wa maana wenye speed na wanaoweza kuhold mpira huko mbele kane kwangu hapana.
" but Kane is for small clubs"Kane is for small clubs tu.
Usichoelewa Mikel Arteta yupo gifted kwa kuona wachezaji wazuri, Talent identification, so hatuhitaji pochi kupata wachezaji wazuri, that's why tajiri miluzi scouting yake kaitegeshea Arsenal, kipindi unawaza tutamsajili Even ndicka, Arteta kashamuona Jakub kiwior kutoka SpeziaFrank sio kocha mzuri ila alikuwa overhyped sana na hana potential yoyote ile ya kuja kuwa kocha mzuri.
Ole mapungufu yake makubwa sana yupo soft sana. Hana ile strong character kama kocha mara nyingi sana hii inaweza kukufanya ukumbatie madhaifu ya timu.
Mikel Arteta ni young version ya Arsene Wenger ktk new generation ni mtu smart sana kimbinu ila soka la kisasa ni lazima pochi ipasuke ili ushindane in-longrun. Siku hizi huwezi kushinda makombe bila uwekezaji mkubwa sana. (Chelsea & Manchester City ni case in point)
Ndoto hii
Una betSiku ya leo nitakuwa na furaha sana kama tukimkojolea Arsenal kwa mara ya pili.
Tusipozipata points 3 sitashangaa kama ambavyo tukishinda.
Naona kunakitu kinarejea united mdogo mdogo. Tunaoijua united ya miaka na miaka. Pass za tenis ndefuuuu Ina mkumta winger na kutambaa nayo wakati MD wanakuja kupanga mashambulizi Kwa eneo Hilo asernal ni mdg sanaKitakachowaponza Arsenal ni kumiliki mpira