Na yeye ashaanza kuvaa hereni!Amad has been voted as the PFA Championship Player of the Month for December [emoji122]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]
man utd |View attachment 2488142
Umemaliza kila kitu, ile front line yetu ni machizi. Hii ndiyo njia pekee unaweza kuwaelezea.Ujue kusema ukweli ile front line yetu bado hatuna mtu serious anayeweza kukupa kombe. Maana yangu hapa unahitaji mtu mwenye mpira wa kiutu uzima hata kama ana umri mdogo aina ya mchezaji kama Kylian Mbappe.
Rashford, Martial na Antony ukimuondoa Weghorst hao bado kuna muda huoni ile akili ya kikubwa yaani unaweka kando ubinafsi na una-channel akili nzima kucheza kitimu ili kupata matokeo.
Bro hata city alizingua alimnyima Martial pass mbili muhimu sana.Binafsi mimi simkubali Rashford namwona amedumaa kisoka.Yani hii ni miaka nenda rudi. Kuna msimu tulikuwa na kila nafasi ya kuingia top 4 ila kila mechi ya muhimu tunadondosha points mpaka mechi ya mwisho ndiyo tukampiga Leicester tuka-qualify UCL.
Ndiyo yanajirudia hata msimu huu, game ya Palace ilikuwa inamalizwa mapema ila uchoyo wa Rashford ilimradi aweke rekodi zake tukakosa points 3. Hata Garnacho ana hayo mambo sana ila mechi ya City alinifurahisha sana alifanya maamuzi sahihi. Kule mbele wakiacha utoto na kujua siyo lazima kila mechi ufunge tutafika mbali.
mimi mwenyewe kanishangaza bwana mdogo kufanya uMAMA kama huu [emoji36].Na yeye ashaanza kuvaa hereni!
Point hapo ni jicho la kishabik, na hamna uwezo wa kuifunga united goli 3, tangu tulipofungwa na Man city hakuna aliyeweza shinda goli 3 kwa Man u, Game itakuwa ngumu sana na mkileta utoto tutawapiga kimoja kazi iishe, na sisi tukizingua tunaweza pigwa goli 1 tu la kuamua mechi, la sivyo hii no droo ya wazi kabisaArsenal tunajua tutamfunga United kwa kigezo kimoja, tutacontrol mchezo kwa zaidi ya 65%. Huwezi kushinda Emirates km huwezi kucontrol mchezo, na united hawezi kucontrol mchezo dhidi ya Arsenal, mechi tuliyocheza OT ilionesha wazi level yenu, mlishinda thru gamestate muda wote tulikuwa tunaichase game kusawazisha goli lakini at the end of the day tukawa exposed.
Huwezi kupack bus Emirates, utakuwa kwenye mazingira ambayo si salama, the atmosphere is behind, technically tuna wachezaji wazuri na structure ya kuunlock these low block teams, bahati mbaya hamuwezi kupossess mpira kwa kukosa technically gifted players kwenye key areas, hivyo mkiwa na mpira tutawapress aggressively tutachukua mpira, kwa jicho langu la kishabiki naona tutashinda 2-0/ 3-1 /3-0, ila sioni united wakishinda Emirates.
Hivi mbona wachezaji wa zamani kama walikuwa madingi sana hivi?Sir Matt Busby #Legend #RIP #Respect.
Busby, pictured here with one of his early squads, was appointed manager of Manchester United on 12 February 1945.
[emoji813]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]
man utd |View attachment 2488845
Hereni zina shida boss?Na yeye ashaanza kuvaa hereni!
Ilikuwa kama ‘farmers league’. Yaani watu wanapiga kazi zingine, football wanacheza jioni au part time. Ingawa professional football imeanza zamani.Hivi mbona wachezaji wa zamani kama walikuwa madingi sana hivi?
Aisee hakuna namna lazima mkae mlizochukua kwenu zinatosha.Point hapo ni jicho la kishabik, na hamna uwezo wa kuifunga united goli 3, tangu tulipofungwa na Man city hakuna aliyeweza shinda goli 3 kwa Man u, Game itakuwa ngumu sana na mkileta utoto tutawapiga kimoja kazi iishe, na sisi tukizingua tunaweza pigwa goli 1 tu la kuamua mechi, la sivyo hii no droo ya wazi kabisa
Aston villa aliwafunga 3-1 Mzee mnasahau haraka hvyo[emoji1787]Point hapo ni jicho la kishabik, na hamna uwezo wa kuifunga united goli 3, tangu tulipofungwa na Man city hakuna aliyeweza shinda goli 3 kwa Man u, Game itakuwa ngumu sana na mkileta utoto tutawapiga kimoja kazi iishe, na sisi tukizingua tunaweza pigwa goli 1 tu la kuamua mechi, la sivyo hii no droo ya wazi kabisa
Eeh eti unasema nini?Aston villa aliwafunga 3-1 Mzee mnasahau haraka hvyo[emoji1787]