Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sema rashford ndo katunyima point 3
Sio Rashidi peke yake hata 10 hag amechangia kwa kiasi kikubwa kukosa hizo points 3, baada tu ya Casemero kulimwa kadi ya njano wachezaji pamoja na mashabiki wote tulikua kama vile tumepigwa shoti, morali ikawa imepungua mpaka kupelekea palace kusawazisha.
Ten Hag na Chidi boy leo akili zao wote zilikua mbovu tu.
Hasira nilizonazo angetokea mtu yoyote aliekaa karibu na 10 Hag akamtia konzi moja la maana kwenye ile solar panel yake huenda kidogo nafsi yangu ingepata afueni.
 
Bissaka anaweza kufanya Kazi kubwa ila kwenye kufanya maaamuzi ya mwisho iwe cross ,shuti au pasi sahihi lazima ayumbe hilo karibia kila mechi ndio maana hana rekodi nzuri za assist kama Mabeki wenzake..
 
Antony anakwenda kuwa Sancho mwengine kama akiendelea hivi hivi.Mechi jana japo Man U alcheza soka bovu ila alitengeneza nafasi nyingi utulivu ulikosekana tu mbele ya lango..
 
Wakuu still tuko vzr,,,, hii point Moja isiwahuzunishe ,,,,,,,

Game ya arsenal tunamkosa Casemiro,,, bad luck!

MacTominay akiamka vzr anaweza kukichafua vzr tu, bahati kwetu ana uzoefu na mechi kubwa Ni huu msimu tu kidogo amekosa game time, Kama mnakumbuka mechi za mwanzon ondoa zile mbili Brighton na Brentford, zilizofuata alikichafua sana huku Casemiro akiingia kwenye mfumo taratibu !

Kwa namna nyingine ETh alikosea kuendelea kumriski jamaa mpaka dakika zote zile,,,,

All in all , tukienda na mahesabu vzr arsenal tunawagongea pale pale seblen kwao !

#GGMU
 
Baada ya game ya jana, EtH alihojiwa kuhusu casemiro kumiss mechi ijayo ana maoni gani ? Akajibu last time aliwafunga bila casemiro !

Ndo tulihitaji kocha wa namna hii,,, kujiamini,misimamo, maamuzi ,ukali!

We go again [emoji83]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…