Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,225
- 44,214
Kapoteza ushawishi wa nani exactly? Sijawahi sikia mchezaji anamlalamikia Maguire tofauti na Walioondoka Kina Pogba na Ronaldo, na ETH harembi ingekuwa ana matatizo asingeendelea kuwa Captain.Kuna aina ya wachezaji hawafai kuwa backup hasa hasa mtu kama Maguire in-longrun anaweza kuleta shida ktk dressing room. Spurs inaweza kuwa timu sahihi sana kwake endapo pande zote mbili zitaelewana. Namuona akifanikiwa sana kiuchezaji wake endapo atajiunga nao.
Tayari alishapewa mamlaka makubwa sana ndani ya kikosi tokea 2020 mpaka 2022 chini ya Ole halafu ghafla anapoteza ushawishi ndani ya muda mfupi kuanzia dressing room mpaka uwanjani. Sio mtu sahihi kuendelea kuwepo kikosini kuanzia msimu ujao.
Anaenda dort baada ya miaka 2 man u wanamnunua tena kwa mil 100Borussia Dortmund are interested in Anthony Elanga.
#FabrizioRomano
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]
man utd |View attachment 2483993
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anaenda dort baada ya miaka 2 man u wanamnunua tena kwa mil 100
[emoji16][emoji16][emoji16] Palace ni mwepesi sana kwetu wala hatutatumia nguvu nyingi kumbonda.Ndugu zangu Kina Flano ,Chezeni kwa umakini dhidi ya palace tunataka mje kamili ,tuoneshane makali
[emoji599]| Casemiro and Fred have both received four yellow cards in the Premier League and another warning midweek would mean a ban for the trip to Arsenal. [@TheAthleticFC]
Hata Man u fans wanadai atatubeba ,but tunawangoja,[emoji16][emoji16][emoji16] Palace ni mwepesi sana kwetu wala hatutatumia nguvu nyingi kumbonda.
Tunaweza wapumzisha Fred na Casemiro na bado Palace akachezea zaidi ya goli 3.
Nimepita kwenye jukwaa lenu aiseee huko watu wanamchecheto sana na mechi ya jumapili, wengine wameshaanza kutafuta sababu eti Taylor jumapili lazima aibebe United.
Hilo chokoraa liuzwe Tu,Borussia Dortmund are interested in Anthony Elanga.
#FabrizioRomano
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]
man utd |View attachment 2483993