Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwa mujibu wa Akanji, Bruno alishout kumwambia Rashid auache (asiguse mpira) mpira.
 
Rekodi za karibuni
 
Kumbuka kua nyinyi ni kama misukule yetu vile, tunawafanya tutakavyo.
 
Weka head to head kwa hii misimu mitano kaka tuone nani mchumba tafadhali
 
Fred na Casemiro wana 4 yellow cards ,

Wanaenda kucheza mechi ya 19 jumatano na Palace , , means wapo kwenye risk ya kukosa mech na Arsenal

Arsenal wiki nzima hatuna mechi tumekaa paleeee tunawasubiri tukiwa fresh kabisa
 
timu haina hela, kuna tetesi tusipofuzu UCL itabidi tuuze dirisha lijalo, hakutakua na usajili mkubwa
Maguire, Bailly, Telles, Williams, Martial hawa kwa pamoja hatukosi pound 100M majira ya kiangazi.

We jamaa nikikumbuka ulivyosimama na mdogo wako Rashford bega kwa bega kipindi kile tunataka kumla kichwa humu ndani naishia kutabasamu tu. Sasa hivi apewe mkataba wa kudumu yeye na Shaw.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…