Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kama unahisi mancity kaonewa leta timu yako OT
Wameanza uchawi, marcus rashford ndiye aliyekuwa offside lakin naye alijijua kuwa yupo offside na hakuugusa ata kidogo huo akamuachia the killer bruno Fernandez akikimbia kutokea nyuma na kuuwahi mpira na kuachia bonge ya shoot adi goal.... Kama Rashford angeupiga ule mpira ingekuwa ni offside.
 
sasa hivi mmekuwa Clowns, Toka Woodward aondoke kampa kijiti Boehly.
 
Sure thing,The best thing yule beki wa city angefanya ni kumchezea rafu rashford badala yake akafanya assumption refa ataona offsude,Bruno amefanya vzr kwa kukimbia bila kuwaza offside ya Rashford (alikua anawaza filimbi tu ndo ingemzuia),It shows fighting spirit ipo juu sana.
 
LVG ni bonge la kocha, ila kufanya kazi na woodward ni kitu kigumu sana, ameprove sehemu nyingi tu kuwa yeye ni top coa
Huyu mzee hapana kwa kweli sio kwa style ya man u yule hafai kabisa huwezi kumuuza Rafaeli halafu ukatumia mabeki kama kina Blanket, kazi yao kurudisha mpira nyuma. Kwangu mimi hakuna kipindi nilikuwa nachukia kuangalia mpira kama kipindi cha Van gal yaan mpira mnacheza na kumiliki nyie haladfu mwishowe mnafungwa.
 
Waliowauza wachezaji wazuri time ya kina rvg, hovyo sana
 
sababu hajapewa watu wake anaowataka, in real life mpira sio kama Fifa na Pes unachukua timu unacheza,

LVG alikuwa wazi kabisa anataka nini na hakupewa anachotaka so akachukua hao watoto. LVG ana UEFA ubingwa wa La liga, Bundesliga, Ligi yao uholanzi etc. katoa malegend kibao, hajaanza ukocha na UTD.

angalia wachezaji walioachwa na LVG kama Rafael, Nani na wengineo walifanya nini walivyoondoka UTD? si tu timu kubwa hazijawataka, hata hizo ndogo hawakucheza vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…