Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Teh enzi za OLE alichacha kuna moment alikua anatoa boko mpaka unataman uingie umchape fimbo ata Rashfd nahisi ETH anajua kuwatumia
 
Yule jamaa n moto mbaya sema sijui kwann kocha hamwamin Ila jamaa anaujua vizuri sana
Bisaka ni mkabaji mzuri mno yaan kumpiga chenga yule ujipange.Tatizo lake lilikuwa kupandisha timu naona hili kwa ssa analifanya vyema na chenga analamba watu.

Kifupi kocha anahitaji pongezi sababu kaleta ushindani wa number ambao umesaidia wachezaji kujituma, embu fikiria leo hii Maguire hana number wakati OGS alimuendekeza akamfukuzisha kazi, leo Shaw anatolewa left anawekwa kati anapiga kazi safi Martenez anaanza bench. What a kocha? Ronaldo anazingua anasitishiwa mkataba loooh! Yaani ETH ni kama Ferg alivyokuwa hataki upuuzi
 
Kocha anajali uwezo wako mazoezini sio jina, hapo wachezaji lazima wajitume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…