Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Marcus Rashford’s game by numbers vs. Man City:

29 touches
4/4 ground duels won
3 shots on target
2 tackles won
1/1 dribble completed
1 key pass
1 goal

Red through and through.

#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]

man utd |
 

Attachments

  • IMG_20230114_184150_692.jpg
    85.9 KB · Views: 14
Sure mkuu! Huyu mmbazili Ni mtu na nusu ,,,, wakati tunamsajili kwa pesa ndefu wapinzani walitucheka tumepigwa, kashinda kila kitu so Hana Cha ku-prove anakuja kula pension !!!!
 
Nikikumbuka enzi zile msimu iliyopita Rashford na marangi yake kwenye nywele anabutua hovyo na kukosa nafasi nyingi za wazi watu humu walikuwa wanamuita TrashFord na kutaka aondoke haraka na kuweka benchi..


Ila Chief-Mkwawa akawa anakuja na takwimu za Rashford yuko kwenye form na Mbappe huku akituaminisha kuwa nado ni hazina na ni mchezaji bora , huku mashabiki wengi tukamuona kama Chief ni chawa wa Rashford leo hii kawa mtu Kazi anapika boli ya uhakika.
 
Haalland ni Kibu Denis aliyechangamka isipokuwa tu mfumo wa Mwa-City unambeba.

Kuna Kenge wanamlinganisha Haalland na King Mbappe kiubora katika kufunga magoli, hakika Wajinga hawawezi kuisha duniani [emoji1787]
Haaland Ni goal getter,,,anasubiri malisho, ukiziba njia basi!

Mpambe yule Ni fighter, ana-drible, anatoa anapokea anaweka !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…