Kati pako solid, Fred na Casemiro!
Naona licha Hana fitness!
Upande wa malacia akipelekewa Sana Moto huwa anapanic anaweza kula umeme !
Leo Martial atatusuprise, ana kismati na mechi kubwa ! Assist au goal
Huku kwa AWB naona hakuna shida !
Kipindi Cha pili wataingia kina Anthony !
Joao cancelo siku hizi anakabia macho, sio yule ! Let's go
#GGMU