Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ushauri wangu Fikira za Ubingwa ziweke mbali kabisa.
Wenye haki ya kuwaza ubingwa kwa sasa Ni Arsenal na Man City.
Sisi Man U tuko kwenye Form nzuri, tusubiri mwezi March tuone tutakuwa wapi.
Hapa kati kila wiki tuna mechi mbili, mashindano manne, kuna kupoteana hapo.


Kwa sasa tunatakiwa kuwazia Gemu inayofuata tuu.

Ushauri tuu kwa mashabiki wenzangu wa Manchester United.
 
Kwamba unawaza ubingwa na upo nyuma point tisa kwa Arsenal, mind the gap bruv
 
Kosa la kwanza EtH atakalolifanya kesho ni kuanza na kiungo cha Casemiro,Fernendes na Eriksen.

Tunahitaji mkimbiaji hapo katikati..ile game ya sita goli la kwanza lilianzia pale Eriksen alipoacha kucheza tactical foul..Fred atatusaidia kwa kazi hii.
 
Naomba consider fixture & table
 
Sababu in the summer Harry Kane atatua Carrington... Huyu tu mtumie kwa Sasa
 

Kwa mkopo wa miezi 6
 
Manchester City

Crystal Palace

Arsenal

Tukishinda hizi game zote hapo juu aisee we are in the race,niamini.
Binafsi naona hata tukiambulia point 6 kwa kushinda game za arsenal na palace tukapoteza kwa city,matumaini yanakuwa juu zaidi kufungua shampeni mwisho wa msimu.

Arsenal ana game 2 sawa na point 6 dhidi ya city,Pep hatapenda kudhalilishwa na mwanafunzi wake kirahisi.
 
Sasa city akitufunga na Gape la point 7 huoni hata tukimshusha Arsenal ni kazi bure?

Realistically tukiwafunga wote ndio tutakua na nafasi, mechi zao tunaombea draw wakikutana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…