Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Huwa anacheza vizuri vs City ndo maana nimemweka.

Ukiacha hiyo..kuna faulo moja Fernandes alimdokolea jamaa akatia kambani..bonge ya goli,na game hiyo tulishinda pia.
Hiyo game naikumbuka, Fernandes alipoga faulo ya akili sana sikuile, ile game Tominay alikichafua balaa.

Ila OLE alikuwa anammudu sana PEP, game nyingi sana tuliondoka na ushindi mbele ya City kipindi kile.
 
Tulia wewe KDB alikua benchi pale chelsea mpaka wakamuita flop...Pep alivyomchukua Leo kiko wapi??
 
Wout Weghorst ukimuangalia kwa mbali aina yake ya uchezaji inafanana na Luis Suarez ila kiuhalisia yeye ni Benzema mtupu, kuna vitu Cavani alijifunza kwa mtu huyu na anaposhuka kiwango anacheza kama Lewandowsky.

Nyie Kenge wa pale darajani mna matatizo mengi, mnahitaji kufanyiwa maombi ya kitaifa.
kwa beki ile ya Coulibally na genge lake huruma naona mimi, Unaambiwa huyu mwamba anakimbia yule Kylian Mbappe arudi tena twisheni.
 
Hivi
Tulia wewe KDB alikua benchi pale chelsea mpaka wakamuita flop...Pep alivyomchukua Leo kiko wapi??
We Kenge kweli, yaani KDB wa 23 na huyo mzee wa miaka 30. Alipoondoka Kelvin darajani alikuwa bado anakua na miaka yake 23, Huyo wenu anapokuja hapo kwenye mbolea akiwa katundika miaka 30 ataendelea kukua!!
 
Hahah..EtH avute simu kwa Ole ampe moja na mbili za kumkamata Pep.
Cheat Code ya Ole ilikuwa:- 1.kufunga goli la kwanza kisha unaclose spaces.

2. Kuwa quick kwenye transition lakini mnakuwa direct.

3. Kuwin ground duels zote kwa usahihi.

4. Kila unapowin mpira unaanzisha shambulizi ili Man city wasifanye pressing yao.

5. Mpira unaoingia kwenye box lako uwe dead ball, play ianze upya.

6. Kutowaruhusu City kuwa karibu na 18 yake ukiangalia mechi zote alizocheza nao walikuwa hawasogelei box letu.

7. City wako vizuri sana wide na magoli yao mengi yanatengenezewa wide alichokifanya ni kuua passing channels zote City wanapokwenda wide uliona Bissaka alivyomficha Sterling, na upande wa pili Shaw alivyomficha Bernado.
 
Ni vilabu 3 pekee vilivyoshinda Kombe la Dunia la Klabu ya Fifa nchini Uingereza.
1.Chelsea.
2.Liverpool.
3.Manchester United.

Ni klabu 5 pekee ambazo zimeshinda Uefa Champions League nchini Uingereza.
1.Liverpool.
2.Manchester United.
3.Chelsea.
4.Nottingham Forest.
5.Aston Villa.

.ni vilabu 5 pekee vilivyoshinda Uefa Europa League nchini Uingereza.
1.Liverpool.
2.Chelsea.
3.Tottenham Hostpur.
4.Manchester United.
5.Ipswitch Town.

Ni klabu 5 pekee ambazo zimeshinda Uefa Super Cup nchini Uingereza.
1.Liverpool.
2.Chelsea.
3.Manchester United.
4.Nottingham Forest.
5.Aston Villa.
.
.
.
.
.kama unatafuta klabu ndogo kama Manchester City na Arsenal kwenye orodha hii, samahani huwezi kuzipata
..
 
Wout Weghorst club stats:

Wolfsburg: 70G, 22 A in 144 apps
Burnley: 2G, 3 A in 20 apps
AZ Alkmaar: 45G, 13 A in 86 apps
Heracles: 24G, 8 A in 73 apps
FC Emmen: 21G in 66 apps
Beşiktaş: 9G, 4 A in 18 apps

G = Goals
A= Assist
apps = Appearance
 
Najisikia vibaya kila mawazo ya kwamba Martial ni flop yanapotaka kudominate fikra zangu. I just like this guy, sijui kwa vile anafanana na mtoto wangu au nini.
Huyu Ni maji kupwa na kujaa sawa na rashyyy! Watakufurahisha mechi tano consecutively, watakuudhi nyingine tano mtawalia

Ila msimu huu bwana rashidi yuko serious Sana, tuombe asipate majeruhi tu !
 
Wout Weghorst club stats:

Wolfsburg: 70G, 22 A in 144 apps
Burnley: 2G, 3 A in 20 apps
AZ Alkmaar: 45G, 13 A in 86 apps
Heracles: 24G, 8 A in 73 apps
FC Emmen: 21G in 66 apps
Beşiktaş: 9G, 4 A in 18 apps

G = Goals
A= Assist
apps = Appearance
Stats sio mbaya Sana na tumempata kwa Bei nzuri sio wale makenge wa darajani wamepigwa 11m na kucover full salary 280k weekly!

Alafu advantage nyingine huyu jamaa Ni pure no 9,,,,! Akipata huduma nzuri kutoka kwa Bruno na Ericksen anaweza kutufungia magoli kadhaa !
 
Eeeeeh
 
Who's the best defensive midfielder in the Premier League?


#GlazerOUT

#GGMU


man utd |View attachment 2475340
Maybe if this is personal interest, lakini by far Thomas Partey has been the best holding midfielder itl this season, nikufundishe kitu, kama unahitaji kiungo mzuri kwenye 1st phase & progression lazima umchukue Thomas Partey, km unahitaji kiungo mzuri kuzuia lkn si mzuri technically mchukue Casemiro, Casemiro namuona ni Ngolo Kante, wakati Thomas partey ni Rodrigo cuz wote wana technical consistency japo partey is more physical prowess. Fabinho simuongelei cuz kapotea msimu huu, sasa mpira mnauangaliaje wenzetu? binafsi ningemuweka Caicedo, Rodrigo & Partey kwenye list mbele ya wabrazil wawili.
 
Najua mashabiki wengi wanaona mbio za UBINGWA zipo Kati ya timu MBILI ARSENAL na MAN City hata baadhi ya mashabiki wenzetu humu wanafikiria hvyo,
Ila kwa upande wangu naona hata sisi TUNA NAFASI YA KUCHUKUA UBINGWA MSIMU HUU....

Na mwanga utaanza kuonekana juma linaloanza ambapo tutacheza na MAN City pamoja na PALACE hapo j5...

Endapo tutashinda hzo mechi mbili tutakuwa tunamkaribia kwa ukaribu zaidi na anaeongoza ligi ambaye ni ARSENAL ambaye nae anakibarua kigumu dhidi ya mpinzani wake TOTTENHAM,

Na akitoka na Tottenham anakutana na sisi...
Patamu hapo!!!

#GGMU
 
Ubingwa ? Mapema mno kuuwazia !!!! Hapa malengo Ni kusecure top 4, mwakan tushiriki UEFA !!!

Pia Europa,FA na carabao tukaze kaze walau tuambulie chochote kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…