Manchester United (Red Devils) | Special Thread


Hana hofu hata chembe kwa Arsenal, hata kama wanaongoza ligi. Kifupi ni kama kasema Asenane ni ngoma ya kitoto….. haikeshi, kidogo tu usingizi
 
Amekuwa na game nzuri sana kipindi hiki,mchezaji ambaye hajaimprove kwa Ten Hag naona Martial bado
Sijui Martial ana mashetani gani,kipindi cha pre season alifanya vizuri sana hadi EtH akabadili mawazo jamaa asiuzwe kwanza,baada ya kupata majeruhi na kurejea amekuwa hovyo sana,

Pia mkianza kumsema vibaya anapandisha kiwango mnaona sasa mmepata striker,baada ya game kadhaa anavurunda hadi hamtaki kumuona hata benchi.
 
Jamaa bado anaamini arsenal sio tishio endelevu kwenye kugombea makombe licha ya form nzuri waliyo nayo kwa sasa. Kipimo cha ubora wa timu yake ni level za Liverpool na city.
 
Kwa kifupi Martial hatufai tena bila kupepesa macho maana miaka nenda rudi yupo hivyo hivyo, angalau Rashford siku hizi anakaza kinoma
 
Sercan Dikme (Turkish reporter): "After the [Besiktas] match ended, I soke with the club and the player side. There is a possibility that Wout Weghorst will leave. #mufc held a meeting with Burnley... Besiktas needs to give approval for the player to leave."
 
Sijaona update yeyote kwa hawa waandishi wenye ukaribu zaidi na maskani ya old trafford.

Chief-Mkwawa una access ya huu mtandao wa the athletic?
Kama umesoma hiyo makala, laurie ana lolote juu ya felix?
Mbona ile app bado inafanya kazi mkuu? Nimecheki ni hivyo hivyo ulivyoandika hakuna habari zaidi

Felix Atletico wabaki nae tu, Timu hata hela bank haina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…