FULL MKOKOOO!!!First XI ya leo ni mwendo wa kuminya mbupu tu.
Ila tukitoboa leo game ya Everton aweke full mkoko then kwa Charlton rotation kidogo. City na Arsenal ni full mkoko.
Msimu huu tunapiga kotekote, FA na Carabao ndo vikombe vyetu.
#GGMU
First XI ya leo ni mwendo wa kuminya mbupu tu.
Ila tukitoboa leo game ya Everton aweke full mkoko then kwa Charlton rotation kidogo. City na Arsenal ni full mkoko.
Msimu huu tunapiga kotekote, FA na Carabao ndo vikombe vyetu.
#GGMU
Mwamba umefika.Napita hapa kijiwe nongwa vijana wana tabasamu kweli kweli kama wameambiwa kuna bia za bure kumbe amna bwana nimewauliza kuna nini hapa wame jibu.
Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha[emoji16][emoji16]
Prediction
Manchester united 1 vs Everton 0
Time
Saa 5 usiku
Last match
Everton 1 vs manchester united 2
GGMU[emoji83]View attachment 2471254
Goli la kizembe mno.De gea dah goli gani hili
***** aliefunga goli ni nani mbona mnapenda kuandama wachezaji kama ni kazi rahisi ??Hatuwezi kushinda chochote kwa wachezaji kama martial na Anthony [emoji706][emoji706]
Lile goli ata ww unafunga... ukitoa goli amna cha maana anachofanya anakaa sana na mpira wanampokonya timu nyuma na kati inacheza vizur huko mbele upumbavu mwing***** aliefunga goli ni nani mbona mnapenda kuandama wachezaji kama ni kazi rahisi ??
Huyu anthony hata wc aliitwa tu sabb ya kuchezea man u hamna kituLile goli ata ww unafunga... ukitoa goli amna cha maana anachofanya anakaa sana na mpira wanampokonya timu nyuma na kati inacheza vizur huko mbele upumbavu mwing
Wafosi wamchukue benzema.. jamaa kashashinda kila kitu na madrid wamshawishi aje OT pale awafundishe watoto proper number nine anatakiwa acheze vp...Gakpo[emoji29]
Anthony huyu aliyefunga goli ?Hatuwezi kushinda chochote kwa wachezaji kama martial na Anthony [emoji706][emoji706]
hii winger ya antony angekuwepo GakpoWafosi wamchukue benzema.. jamaa kashashinda kila kitu na madrid wamshawishi aje OT pale awafundishe watoto proper number nine anatakiwa acheze vp...
Gakpo ni winger wa kulia ?hii winger ya antony angekuwepo Gakpo
Wc alicheza mbna...Gakpo ni winger wa kulia ?