Shida yetu kubwa hua ni beki na mshambuliaji pale mbele, upande wa beki tokea ujio wa Lisandro Martinez naona ukuta umeimarika, ila pale mbele kwa kumtegemea Martial tutafeli vibaya mno endapo Rashford ataumia.Sisi nyota yetu ipo kwa makipa, huwa hatutaki mchezo. Kuna kipindi tulikuwa na Valdez, De gea na Romero msimu mmoja.
Stoke City mwaka 2018 ndio nilianza kumjua na kumuelewa Jack Butland kwa zile saving zake.Nilivyoona tu picha nikahisi huyu ni kipa tu
Everton leo kayakanyaga lazima achapike pale kwenye vile vitofali vya kuchoma.Matchday...
GGMU
Wanatafuta Mshambuliaji ila ndo wa bei ya mafungu,Shida yetu kubwa hua ni beki na mshambuliaji pale mbele, upande wa beki tokea ujio wa Lisandro Martinez naona ukuta umeimarika, ila pale mbele kwa kumtegemea Martial tutafeli vibaya mno endapo Rashford ataumia.
12m ya nini?..loan fee au?Wanatafuta Mshambuliaji ila ndo wa bei ya mafungu,
Report ni huyo Felix, wamepeleka 4m na Atletico wanataka 12m, ngoja tuone.
Mkuu wapi allypip na dunia nzima inafuraha leoEverton leo kayakanyaga lazima achapike pale kwenye vile vitofali vya kuchoma.
Ila hizi mechi za saa 11:00 zimeshaanza kunichosha, utafikiri tunaangalia La Liga banaa.
Itakua amesahau kama leo ile timu inayopendwa na dunia nzima ipo uwanjani.Mkuu wapi allypip na dunia nzima inafuraha leo
Wewe na huyo dadako Ever leo mtapigwa hadi mchakae [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kila la kheri Everton [emoji91][emoji91][emoji91]
Atletico wanataka €15M loan fee plus €6M full salary package kwa miezi 6 bila buyout option clause. United tume-draft offer kwa wakala wake Jorge Mendes €10M yaani ada ya uhamisho(€4M) na mshahara(€6M) ila jamaa wamekaza wanataka tuongeze €11M.12m ya nini?..loan fee au?
Yap na mshahara tulipe full,12m ya nini?..loan fee au?
Hakika Jombaa. Binafsi sina imani sana na Martial kwanza hana uhakika wa kucheza mechi 5 mfululizo bila injuries.Shida yetu kubwa hua ni beki na mshambuliaji pale mbele, upande wa beki tokea ujio wa Lisandro Martinez naona ukuta umeimarika, ila pale mbele kwa kumtegemea Martial tutafeli vibaya mno endapo Rashford ataumia.
Martial nimemwangalia hizi game ligi ilivyorudi baada ya World Cup,,daah kusema ukweli anakatisha tamaa..Tumebaki na Rashford tu..sasa hii sio nzuri hata kidogo.Hakika Jombaa. Binafsi sina imani sana na Martial kwanza hana uhakika wa kucheza mechi 5 mfululizo bila injuries.
N.B Martial dhidi ya City huwa hajawahi kuniangusha.
Mechi za saa 5 zinakera kinoma ilisababisha nikaikosa mechi ya Nottingham Forest nilipumzika lengo saa 5 ikifika nicheki game nakuja kushtuka mechi ishaisha.Everton leo kayakanyaga lazima achapike pale kwenye vile vitofali vya kuchoma.
Ila hizi mechi za saa 11:00 zimeshaanza kunichosha, utafikiri tunaangalia La Liga banaa.