Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Bayern ni option, wapi kwengine wana uhitaji wa striker? Madrid wana Benzema, Barca wana Lewandoski, Juve Vlahovic etc
 
Jamaa unamkubali Patrick kinoma
 
Yaani uchukue points 3 kwa arsenal Emirates kirahisi ? Ile mechi ya OT yenyewe hata kuikamata au kui dominate mlishindwa ,itakuwa Emirates?

Yangu macho
Umeanza kufuatilia mechi za Man U vs Arsenal lini?

Kama una uzoefu hiyo kauli usingeitoa.
Fuatilia toka enzi za Fergi na Wenger, Arsenal ndio mnadominate mpira kwa maana ya ball possession.
Ila matokeo huwa yanakuwa tofauti.

Fuatilia. Utajifunza kitu.
 
Bei za waingereza pasua kichwa.

Labda tuwe na shida sana na tumekosa option.
 
Vipi after Fergie ,Wenger era?
 
Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha[emoji16][emoji16]

Prediction

Manchester united 4 vs Bournemouth 1

Time

5.00 usiku

Stadim

Old Trafford

Last match

Manchester united 5 vs Bournemouth 2

GGMU[emoji83][emoji83][emoji83][emoji173]
 
Mimi sioni kama Harry Kane anatufaa kwa sasa.
Namuona kama mchezaji wa msimu mmoja.

Japokuwa akiwa na impact kama ya RVP. Itapendeza.
 
Tuuze anthony pale tumepigwa,sehemu ya kutoa pasi yeye anapiga danadana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nilichogundua Arsenyani hakuna mchezaji wa Man Utd wanaemuogopa na kumchukia kuliko Anthony.
Huyu Mbrazil kwa alichowafanya siku ile lazima nafsi zenu ziwaume kwa kweli, kuwadanganya anaingiza kichwa tu halafu akaishindilia yote halikua jambo la kiungwana hata kidogo.
Halafu mbaya zaidi baada ya kuwatia bao akawakejeli kwa hilo bao lake tayari kashawatia mimba na kuwang'ong'a juu.
 
Hichi sio kichaka Cha kujifichia ,toka awali tuliwaambia huyu kwa €100m mmepigwa

,Kufunga sio hoja, total performance yake ikoje

Wenzio humu wanakubali pale mmepigwa , wewe unatusingizia Arsenal fans

Tuliwaambia Sana humu Ni mchezaji wa kawaida tu ,akaja Paul Schoose akasema ,naye Ni Arsenal ?

Mkaja na kelele za Garanacho tukawaambia Ni average Bado msipige kelele , Sasa Hivi Kiko wapi?

Mmekuja Tena mnautaka ubingwa, [emoji1787] sawa kwa uchezaji upi? Nalo tutawakumbusha
 
[emoji1]
 
Issue za pesa hazituumizi kichwa, kwanza kwa walichoifanyia hii club wale Glazers acha wa-spend tu pesa ambazo wame-generate mashabiki wenyewe.

Suala la value ya Antony sisi halituhusu. Kwasababu kocha kapata target yake lakini pia Antony ameongeza kitu kwenye squad yetu.

Antony bado ana room ya ku-improve na kufikia potential yake kulingana na umri alionao.
 
Sure pengine short term anaweza kuwa Ivan Toney wa Brentford au Alexander Mitrovic wa Fullham.

Hata Goncalo Ramos pia ni mzuri tu.
Sasa Goncalo Ramos awe ni short term?mtu aliyemkimbiza CR7 hahahaha una masihara ww,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…