Kama wataweza ku-battle na top 2 clubs litakuwa jambo zuri sana kwa wachezaji maana yake mechi 3 zijzo tukusanye points 9 na 6 kati ya hizo zitoke kwa City na Arsenal.2021 mda kama huu tulikuwa tunamfukuzia Liverpool na tukampata tukawa Juu Epl Table. Hata 2020 pia tulivyoanza kuifukuzia Top 4 hatukupunguza speed mpaka tukawa watatu.
Same kwa sasa timu ina Fight spirit nzuri tu, Timu yetu inacheza sasa hivi bila Dalot, Martinez, Shaw (Natural position) na Sancho lakini unaona kabisa timu ipo vizuri.
Na pia mtofautishe kugombania ubingwa na Kuchukua Ubingwa ni vitu viwili tofauti.
Msimu uliopita Mkuu mechi tatu tu zilituangusha.Kama wataweza ku-battle na top 2 clubs litakuwa jambo zuri sana kwa wachezaji maana yake mechi 3 zijzo tukusanye points 9 na 6 kati ya hizo zitoke kwa City na Arsenal.
Points 3 kwa Arsenal inawezekana kabisa ila City nina mashaka sana. Tusubiri tu tuone.
Martial alikua kwa Mkopo SevillaMsimu uliopita Mkuu mechi tatu tu zilituangusha.
Na ilichangiwa Kwa kias kikubwa na nidhamu mbovu ya kuanzia rashford, Pogba, martial,Cr7, na wengine. Yaani ilikuwa upuuz Sana.
Nakumbuka wachezaji walikuwa wanatembea uwanjani. Na kweli walikuwa na uwezo mkubwa tu.
Moja ya mechi nakumbuka tulidraw Moja, mbili tukafungwa, zilikuwa mech muhimu Sana.
Katika matukio Yale, nakumbuka au tunakumbuka, Maguire alikuwa akifanya makosa Sana, na wkt ule akimuumiza Pogba na Ronaldo, vilevile Gollkeeper hakuwa na Imani na Maguire kiufupi, kocha alistahili kupisha timu Kwa mwalimu mwingine
Full fit Rashford na Martial, City anafungika.Kama wataweza ku-battle na top 2 clubs litakuwa jambo zuri sana kwa wachezaji maana yake mechi 3 zijzo tukusanye points 9 na 6 kati ya hizo zitoke kwa City na Arsenal.
Points 3 kwa Arsenal inawezekana kabisa ila City nina mashaka sana. Tusubiri tu tuone.
Ni katika move Yao ya mgomo mkuuMartial alikua kwa Mkopo Sevilla
Maajabu hayatakuwa Arsenal kuchukua ubingwaTatizo Manchester United na mathematics huwa haviendi pamoja.
Kipindi ambacho hesabu zinakubali ndiyo kipindi utaona timu ina-drop points kipuuzi. Mara ngapi tumekuwa kwenye top 4 race na tunajifelisha wenyewe.
Suala la kuwa kwenye title race linawezekana ila kushinda EPL ni ndoto ngumu sana kutimia.
Huu ubingwa naona kabisa ni City au Arsenal. Washika mitutu siwaamini sana kwasababu kuna fixtures wao kutoboa itakuwa ni vigumu sana.
Tusubiri tuone kama kuna maajabu msimu huu.
Tofauti ya points 7 ndogo sana kwa mpinzani wenu City. Arsenal kuna mahali mtashikwa kwenye 2nd half ya EPL. Mechi 10 za mwisho zitaamua ubingwa kulingana na gap la mtu wa kwanza na wa pili.Arsenal katika mechi tatu zijazo ,mechi ngumu Ni ya away, Arsenal kwa Sasa ndio best kwa Atmosphere Wakiwa home , naziona points 7-9 katika hizo mechi 3, coz 2 home ,1 ya Spurs away .Spurs Kama unavyomjua ,Ni kudefence tu
Mjomba naitunza hii risitiKama wataweza ku-battle na top 2 clubs litakuwa jambo zuri sana kwa wachezaji maana yake mechi 3 zijzo tukusanye points 9 na 6 kati ya hizo zitoke kwa City na Arsenal.
Points 3 kwa Arsenal inawezekana kabisa ila City nina mashaka sana. Tusubiri tu tuone.
The real test kwa Arsenal ni top 6 clubs tu.Maajabu hayatakuwa Arsenal kuchukua ubingwa
Maajabu yatakuwa Arsenal kuukosa ubingwa...
Kiuhalisia nyinyi MSHAVULIWA UBINGWA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Top 4 Race sasa hivi hawa jamaa ni competitor wetu,Newcastle United have recalled Martin Dubravka from his loan at Man United. Newcastle's decision to activate their January recall clause. United yet to make a decision on whether to sign a replacement. Leaves Heaton and Bishop as back-ups for De Gea.
nilifikiri mmoja kati ya makipa wao ameumiaTop 4 Race sasa hivi hawa jamaa ni competitor wetu,
Wana Makipa wa 4, na Huyu Dubravka anakuwa wa 5, hata kama Kaumia mmoja ama wawili haiwaathiri.nilifikiri mmoja kati ya makipa wao ameumia
Yaani uchukue points 3 kwa arsenal Emirates kirahisi ? Ile mechi ya OT yenyewe hata kuikamata au kui dominate mlishindwa ,itakuwa Emirates?Kama wataweza ku-battle na top 2 clubs litakuwa jambo zuri sana kwa wachezaji maana yake mechi 3 zijzo tukusanye points 9 na 6 kati ya hizo zitoke kwa City na Arsenal.
Points 3 kwa Arsenal inawezekana kabisa ila City nina mashaka sana. Tusubiri tu tuone.
Jamaa ana stress achana nae. Sio kwa arsenal hii. Kwanza kuilinganisha arsenal na man u hii ni makosa sanaYaani uchukue points 3 kwa arsenal Emirates kirahisi ? Ile mechi ya OT yenyewe hata kuikamata au kui dominate mlishindwa ,itakuwa Emirates?
Yangu macho
Walikuwa wakikimbia kipindi cha hesabu,wataelewa taratibu.Ni ndoto? Thats Mathematical possible, Tukishinda Mechi 3 zijazo bila kujali Matokeo ya wengine
1. Tunakua point moja Nyuma ya mshindi wa Pili City
2. Tunakuwa Point 8 nyuma ya Arsenal.
Wanawaza ubingwa [emoji1787][emoji1787]Jamaa ana stress achana nae. Sio kwa arsenal hii. Kwanza kuilinganisha arsenal na man u hii ni makosa sana
Kuna siku nilielezea kwenye uzi wenu kwanini tuliwafunga japokuwa mlituzidi kiuchezaji.Yaani uchukue points 3 kwa arsenal Emirates kirahisi ? Ile mechi ya OT yenyewe hata kuikamata au kui dominate mlishindwa ,itakuwa Emirates?
Yangu macho
Ukisikia hesabu za kufikirika ndio hizi sasaNi ndoto? Thats Mathematical possible, Tukishinda Mechi 3 zijazo bila kujali Matokeo ya wengine
1. Tunakua point moja Nyuma ya mshindi wa Pili City
2. Tunakuwa Point 8 nyuma ya Arsenal.
Arsenal ya kawaida sana na jana defense yenu imekuwa exposed na Brighton.Jamaa ana stress achana nae. Sio kwa arsenal hii. Kwanza kuilinganisha arsenal na man u hii ni makosa sana