Kwa January hii uongo. Wa-negotiate na ATM kwa Felix wamchukue kwa mkopo hata wasipoweka kipengele cha kumuuza.Which striker should Manchester United sign this January?
#GlazerOUT
#GGMU
man utd |View attachment 2461405
grazzer's wanasema wao sasa wanataka tu kuuza timu ili wakafie mbele na si kusajili wanasema usajili wao walisha fanya kiangazi ,so kwa muda huu labda mfanye sajili za mikopo, hawawezi ingiliwa wakati wao ni wakusepa muda wowote.Kwa January hii uongo. Wa-negotiate na ATM kwa Felix wamchukue kwa mkopo hata wasipoweka kipengele cha kumuuza.
Next summer tuingie sokoni na budget ya uhakika. Harry Kane au Ivan Toney (akikutwa hana makosa) naona mmoja wapo atatufaa sana au kocha na bodi watakayependekeza.
Thibitisha hii kauliKiangazi walimwaga pesa mingi mingi €250m ,hivo muwe na shukrani
Hata pesa ingekuwepo kusajili striker mzuri January ni ngumu sana. Wafanye loan deal tu, mchezaji anayeweza kucheza CF aliyepo sokoni kwa mkopo ni Joao Felix. Sidhani kama kuna striker mwingine kutoka ligi 5 bora anaweza kusajiliwa kwa mkopo.grazzer's wanasema wao sasa wanataka tu kuuza timu ili wakafie mbele na si kusajili wanasema usajili wao walisha fanya kiangazi ,so kwa muda huu labda mfanye sajili za mikopo, hawawezi ingiliwa wakati wao ni wakusepa muda wowote.
Kiangazi walimwaga pesa mingi mingi €250m ,hivo muwe na shukrani
Manchester United have spent £211.5 million (€245m) on transfers this summer, in what was Erik ten Hag's first season in the Old TraffordThibitisha hii kauli
Chief-Mkwawa hivi ni kweli glazer walimwaga euro millioni 250 majira ya kiangazi?
Nilikosea kidogoHata pesa ingekuwepo kusajili striker mzuri January ni ngumu sana. Wafanye loan deal tu, mchezaji anayeweza kucheza CF aliyepo sokoni kwa mkopo ni Joao Felix. Sidhani kama kuna striker mwingine kutoka ligi 5 bora anaweza kusajiliwa kwa mkopo.
2022 summer Glazers walitoa €225m na siyo €250m.
Toka wawe wamiliki wa Man U hawajawahi kutoa hata sh 10 ya usajili, hio hela ni mapato ya Timu, inamaanisha tu walichukua hela kidogo msimu huu na nyingi wakaibakisha kwenye usajili.grazzer's wanasema wao sasa wanataka tu kuuza timu ili wakafie mbele na si kusajili wanasema usajili wao walisha fanya kiangazi ,so kwa muda huu labda mfanye sajili za mikopo, hawawezi ingiliwa wakati wao ni wakusepa muda wowote.
Kiangazi walimwaga pesa mingi mingi €250m ,hivo muwe na shukrani
Halafu deni lenyewe ni la kuinunua Timu, mmiliki mpya ataitoa hela ya 2004/05 ya kununua timu na atawapa Glazzer hela ya kuuza timuTimu yetu inaharibiwa...kw nn waliuziwa bila makubaliano ya kutoiachia deni? Na kama wamecreate deni walipe wenyewe.
Tangia naana kushabikia united nakumbuka filosofi ya One united.
It's our team not some fk... glazers investment.
Sidhani kama Enzo ni priority kwetu mkuu, kwa Fee yake kuna maeneo kama Striker na Possibly RB kama Bissaka anaondoka, then DLP nahisi tutarudi pale pale kwa FDJ.Kwahiyo Gakpo to Liverpool and possibly Enzo to Chelsea.
We might never be happy again, man.
miezi 12 iliopita klabu haikuonyesha nia ya kulipa euro millioni 18 kwa ajili ya enzo fernandez.Sidhani kama Enzo ni priority kwetu mkuu, kwa Fee yake kuna maeneo kama Striker na Possibly RB kama Bissaka anaondoka, then DLP nahisi tutarudi pale pale kwa FDJ.