Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tumeshinda lakini kuna maeneo tunahitaji kuyaboresha sana hususan dirisha hili..

1. Hatuna namba tisa, mipira ming ilkua inaingizwa kwany box haswa kipnd cha pili mfungaji hayupo

2. Fullback zetu butu kabisa kuna maeneo unaona kabisa zinatucost sn

3. Antony ni mchezaji wa kawaida sn

4. Casemiro
 

Fullback na No;9 tayar 10Hag ameshapeleka mapendekezo kwenye Board ni suala wao kutoa mtonyo wa2 waingie sokon
 
Kwa ile budget waliyoitumia kwa Ronaldo wajilipue kumsajili Kylian Mbappé watu tufurahi. View attachment 2460905
Mbappe aende kucheza manyua? Kuwa serious

Zile tetes kuwa January hamna hela Zina Ukweli ndani yake , January hii tegemeeni sajili za mikopo

Erik ten Hag is determined to add to his attack but #mufc declined to go for Cody Gakpo due to finances and the decision has now been made that only loans in January are affordable. [@lauriewhitwell]-Tier 1
 

Confirmed Hatujamsajili Gakpo sababu Timu haina Hela.

So Either mkopo ama Hatusajili January ama anakuja Mchezaji wa Bure kama depay.
 
kwamba Anthony Daniel James WA pauni 100

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…