Nimesema hiyo freekick waliyopewa Nottm Forest haikuwa ya halali bali ni mwamuzi alishindwa kutafsiri vizuri tukio la Casemiro na yule jamaa kwasababu Casemiro hakumgusa hata inch yule mpinzani
Kuna watu walisema Casemiro kaja OT kula mshahara na hatojituma kwakùwa ameshinda mataji yote ya muhimu. Sijui wako wapi wajionee jamaa lilivyo kila sehemu uwanjani.