Manchester United (Red Devils) | Special Thread

ETH kasema anataka striker kama striker, swali langu wakati wanamfukuzia tangu last summer alikuwa anakuja kwa nafasi ipi??? Manake LW kuna watu wa kutosha.
Haya tusubiri huyo striker mwenye high qualities!!!
Joao Felix Ni striker au Forward?

Sokoni kwasasa hawa ma CF hawapo na waliopo Ni average ,inabidi uingie chimbo uchukue kinda au promising CF Kama walivyofanya Chelsea kwa Datro fofana,

Maana CF akiibuka tu akapiga hata goli 15 unauziwa €100m , mfano Nunez
 
Watu wahuni sana[emoji16][emoji16][ATTACH
 

Attachments

  • IMG_20221227_111010.jpeg
    108.4 KB · Views: 24
  • IMG_20221227_111010.jpeg
    108.4 KB · Views: 23
Arsenal tunanunua wachezajinkuja kuleta impact kuelekea malengo yetu sio kuongeza namba ya wachezaji...
Manchesta bado mnajitafuta...
 
Cody kama tungemtaka tungempata..it seems hakuwa tunachokihitaji.
Sio Kwamba Liverpool wamewapiga ?mbona kawaida

Kuna tetesi niliziona Grazzer family walizuiwa kuchukua dividend awamu hii na Bodi ya man u , pia kutokana na summer man u kutumia pesa nyingi, huenda January hii mkafanya loan deals zaidi , pia Kocha wenu kaahidiwa big investment summer atakapokuja mmiliki mpya .

CHIEF MKWAWA njoo toa details zaidi
 
Hizi propaganda tu Mkuu, Board ya Man U ni Avram Glazzer, Joel Glazzer, Kevin Glazzer, Bryan Glazzer, Gracie Glazzer, Edward Glazzer

Jumla kuna Member 11 na 6 kati yao ni Glazzer, chochote wanachotaka wanapitisha hakuna wa kuwazuia.

Na hao wa tano waliobakia Arnold ni mmoja wao (wamwemuajiri wao).

So lugha nzuri Glazzer wameamua wasichukue Dividend.
 
Kumbe hawajazuiwa ,ila wao ndio wamejizuia[emoji1787][emoji1787]
 
Kumbe hawajazuiwa ,ila wao ndio wamejizuia[emoji1787][emoji1787]
Daaahhh hilo swali lako uliliuliza kule kwenye jukwaa la Liverpussy MosDef akakufahamisha tena kitaaluma zaidi kuhusu mambo ya fedhwa, akakupa mpaka vivid example ila umeamua kujizima data na kuja huku kuuliza tena swali lilelile.

Ila kwa ule mpira mlioupiga jana dhidi Westham mpaka naona aibu kuja kuwafanyia fujo kwenye jukwaa lenu.
 
Hapana Lina utofauti kidogo, nilitaka nisikie mwandamizi CHIEF MKWAWA ana maoni gani ,
 
Dah yaani ndio mmepigwa ndoige katika usajili ya Cody Gapko!!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mnatia huruma mtimu wenu hauna mvuto,wachezaji wanahitaji pesa tu maana wanajua kuja unyumbuni ni sawa na kuingia kaburini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…