Arsenal haijawahi kukosa mchezaji kwenye mechi ya fainali ya kombe la dunia kwa zaidi ya miaka 50.Raisi wa ufaransa bwana Emanuel Macron ametuma ujumbe wa kuishukuru sana United kwa mchezaji wao Rafael Varane kuwavusha mpaka kufikia kwenye fainali za World Cup.
Club ya Manchester United inazidi kushine tu duniani.
Unaambiwa bodi nzima ya Fifa wamepanga kufanya kikao baada ya kumalizika kwa fainali za Wc ili kujadili uwezekano wa kuiingiza timu ya Man United ishiriki michuano ya Wc inayofata kama taifa huru.
Viva United
Viva 10 hag hakika umetuheshimisha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Usitake kuniambia Olivier Giroud ni mchezaji halali wa Arsenyani.Arsenal haijawahi kukosa mchezaji kwenye mechi ya fainali ya kombe la dunia kwa zaidi ya miaka 50.
Unamfahamu mchezaji anayeitwa William Saliba?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Usitake kuniambia Olivier Giroud ni mchezaji halali wa Arsenyani.
Anasugua bench mpaka nikasahau kama France kuna mchezaji mrembo anaeitwa Salima [emoji23][emoji23][emoji23]Unamfahamu mchezaji anayeitwa William Saliba?
Hata sisi tunataka asugue bench ,akirudi awe fresh na awe na medaliAnasugua bench mpaka nikasahau kama France kuna mchezaji mrembo anaeitwa Salima [emoji23][emoji23][emoji23]
Wameona Nini[emoji849][emoji849]View attachment 2448826
Cr7 effectWameona Nini
Hivi tokea Wc ianze huyo Salima ashawahi kucheza hata mechi moja?Hata sisi tunataka asugue bench ,akirudi awe fresh na awe na medali
Squad playerHivi tokea Wc ianze huyo Salima ashawahi kucheza hata mechi moja?
Nikimtizama dogo ni km najiona mimi vile.. Dogo akitulia atakuja kuwwa midfielder mzuri saanaAzzedine Ounahi
Dogo nimemwelewa sana..Barca tayari wanamtaka
Kwangu varane itapendeza zaidiKati ya Varane na Lisandro ni nani unataka abebe ndoo leo?
Mimi Lisandro all the way..
Jumatano tunaanza tena kuliangalia chama..EFL cup vs Burnley.
[emoji1][emoji1][emoji1]Otomend ni Mangure aliyechangamka