Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nilishaanza kunenepa na kufurahia mbungi la World Cup.

Baada ya goli la kwanza tu nikaacha ku-stream nafungua Twitter nakuta update ubao unasoma 2 - 0.

Pumbavu zao!!!
 
3. Arsenal ndio thread inayoongoza kwa Matusi na lugha chafu, mashabiki wao wengi ni wale watoto waliokosa malezi ya pande mbili, members wake wengi ni wale watoto waliolelewa na single mother bila kusahau pia wengi wao ni madereva wa bodaboda hali inayopelekea bomba la matusi muda wote kua wazi, tena zilivyo Nyani hua zinatukanana zenyewe kwa zenyewe.
 
Ila usisisahau Morocco tunajambo letu.
Morocco washenzi Sana,,,baada ya kumtoa Spain walisema ule ushindi Ni kwa ajili ya waarabu wote na wamorocco!

Sisi ngoz nyeusi tunawashobokea,,, !

Morocco na ulaya Ni karb Sana ndo maana hawajioni Kama waafrica ! Nataka wachapike Kama ngoma !
 
Kuna tetesi cr7 anaweza kuondoka kambini means mechi zijazo hatacheza,,, inasemekana hivi karibuni hawana maelewano mazuri na kocha wake,,, huyu jamaa Ni kirusi

Chief-Mkwawa
 
Morocco washenzi Sana,,,baada ya kumtoa Spain walisema ule ushindi Ni kwa ajili ya waarabu wote na wamorocco!

Sisi ngoz nyeusi tunawashobokea,,, !

Morocco na ulaya Ni karb Sana ndo maana hawajioni Kama waafrica ! Nataka wachapike Kama ngoma !
Mkuu hili jukwaa la Man U


Mi nimeangalia Mechi ya Senegal na Uingereza kulikuwa na mashabiki wengi wa Morocco naongelea maelfu walikuwa wanawapa Support wenzao wa senegal angalia hicho ki clip nimeweka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…