Nothing illegal hapo mzee! Hii ni kutokana tu na a bad ownership deal na ujanja wa kibiashara wa Glazers.kitu gani Exactly kisichojulikana? Bilioni moja pound iliotoka UTD kwenda Bank? dividends wanazochukua kina Glazzer? deni ambalo halilipwi mwaka wa 15? haya mambo mkuu yanaongelewa kila siku, yamejaa vyombo vyote vya habari wala sio siri.
Unatanua goli sasa. Umeambiwa hayo mawazo yako ni ya mfanyabiashara asiye na pesa.tatizo nyie mnaongea ushabiki. ni simple math mimi nakupa 7B iwekeze, una option ya kununua
1. uinunue Man U pekee
2. ununue timu ndogo 22 kwa 300m
baada ya miaka 10 biashara ipi itakupa return zaidi? na kwa nini?
Alieinunua Man City au PSG unadhani wakiiuza leo wataziuza kwa kiasi gani?tatizo nyie mnaongea ushabiki. ni simple math mimi nakupa 7B iwekeze, una option ya kununua
1. uinunue Man U pekee
2. ununue timu ndogo 22 kwa 300m
baada ya miaka 10 biashara ipi itakupa return zaidi? na kwa nini?
Nahitaji waarabuManchester United ipo Sokoni
Baada ya miaka 17 ya umiliki wa Glazers family, iliyokumbwa na mikiki ya kukataliwa na mashabiki, sasa rasmi wameamua kuiweka klabu ya Man Utd Sokoni. Hili limetangazwa tarehe 22/11/2022.
Katika "statement" iliyotolewa na Bodi ya Man Utd na baadaye ikathibitishwa na Avram Glazer, wamiliki wa Man United wameamua kuweka milango wazi kwa wawekezaji wapya kuja kuwekeza (Glazers wakiendelea kuwa wamiliki) au kuiuza (kupata mmiliki mpya) au kuruhusu biashara katika klabu ili kuongeza pato la uwekezaji. Hata hivyo, inatajwa chaguo la kuinunua/kuiuza ndio chaguo lenye nguvu zaidi.
Kwanini Glazers wameamua kuiuza Manchester United?
1. Muendelezo wa mashabiki wa Man Utd kuwakataa Glazers kuwa wamiliki kwa miaka yote 17 ya umiliki wao
2. Glazers kukosa fedha za kuirudisha klabu kuwa klabu tishio kama ilivyokuwa miaka ya nyuma
3. Glazers kukosa fedha za kuisasisha miundombinu ya uwanja wa Old Trafford na Carrington kuwa ya kisasa kama vilabu vingine vinavyofanya (Man City, Real Madrid wameboresha Sana miundombinu yao hivi karibuni)
4. Mgogoro wa kiuchumi duniani kumewanyima Glazers family fursa ya kupata mikopo yenye masharti nafuu kwa ajili ya kuwekeza Manchester United
5. Anguko la Super League ambapo limesababisha uhusiano wa Glazers family na mashabiki kuzorota zaidi na pia umeinyima familia hiyo fursa ya mapato makubwa kutoka Super League.
Man Utd inauzwa bei gani?
Inatajwa kuwa Glazers wapo tayari kukabidhi timu kwa mtu/kampuni ambayo ipo tayari kulipa kiasi cha kati ya paundi bilioni 5 - 9. Hii itaifanya Man Utd kuwa klabu ya michezo ghali zaidi duniani, klabu inayoshika rekodi ni Denver Broncos klabu ya American Football (sio soka) iliyouzwa kwa paundi bilioni 3.9. Tusisahau Chelsea imeuzwa hivi karibuni kwa poundi bilioni 2.5 na Liverpool ipo sokoni kwa gharama ya paundi bilioni 2.7.
Je Mahojiano ya Ronaldo ndio yamesababisha Glazers kuamua kuiuza Man Utd?
HAPANA. Maamuzi ya familia kuhusu kuiuza Yanga yamefanyika kabla ya mahojiano ya Piers Morgan na Cr7. Taarifa ya kuiuza Man Utd ilitoka masaa 4 baada ya Cr7 kufanya mahojiano yale. Haiwezekani ndani ya masaa 4, familia ikae, kisha bodi ikae halafu watangaze maamuzi ya kuiuza klabu.
Lini Man Utakuwa imeshauzwa?
Haiwezi kuwa kabla ya Januari na kama kila kitu kitakuwa sawa bila complications zozote, zoezi hilo litakamilika kabla msimu huu kuisha (May/June 2023). Kutazama time frame ya ununuzi wa Chelsea inaweza kukupa picha ya lini Man Utd itakuwa imeshauzwa.
Nani Wanaotajwa kuwa Wanaimendea Man Utd?
Matajiri wengi wanatajwa, kati yao ni: -
1. Sir Jim Ratcliffe, mfanyabiashara tajiri zaidi Uingereza ambaye pia ni shabiki wa Man Utd. Thamani ya utajiri wake inatajwa kuwa ni paundi bilioni 10.9
2. Matajiri wa mafuta kutoka Saudi Arabia na Dubai
3. Wawekezaji kutoka Mamarekani
4. Amancio Ortega tajiri namba 19 duniani, tajiri wa Kampuni ya Zara Fashion mwenye utajiri wa thamani ya dola za kimarekani bilioni 61.3
5. Apple kampuni kubwa zaidi ya kiteknolojia yenye thamani ya paundi bilioni 2000
6. Wengine
Je Glazers wanaiuza klabu kwa Hasara?
LA HASHA. Miaka 17 Glazer Snr alinunua Manchester United kwa paundi milioni 790, milioni 600 kati ya hizo walikopa na baada ya kuinunua mkopo ukahamishiwa kwenye klabu ya Manchester United. Endapo wataiuza klabu kwa paundi bilioni 5, watakuwa wametengeneza faida ya zaidi ya asilimia 600, tena kwa hela ya mkopo ambao kwa sasa ni klabu ndio inadaiwa.
Mashabiki United wanasemaje?
Mashabiki walio wengi wanatamani klabu ya Manchester United ibadili mmiliki ambaye ataimarisha miundombinu ya klabu na kusajili wachezaji watakaoirudisha klabu katika enzi za ufalme wake
Bila kujali ni Wamarekani, Wasaudia, Wadubai, Wachina, Wahindi au Waingereza... Mashabiki wengi wanataka mmiliki mpya mwenye pochi nene ya kuiletea mapinduzi makubwa klabu ya Manchester United.
Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
According to Forbes value ya City ni £3.4B na Psg ni €3B. Zilinunuliwa kama Timu ndogo hivyo wakiuza watapata faida kubwa.Alieinunua Man City au PSG unadhani wakiiuza leo wataziuza kwa kiasi gani?
Mawazo yangu ni ya kifanyabiashara,. Mtu yoyote ambaye kauza hata genge hawezi kutokujua hili.Unatanua goli sasa. Umeambiwa hayo mawazo yako ni ya mfanyabiashara asiye na pesa.
United ni a global brand, mfanyabiashara mwenye pesa hawezi kuwaza haya. United inaweza isimpe faida kubwa mara moja, ila kuna prestige na PR kwa mambo ya kibiashara zingine.
Hoja yako ni kuwa kutokana na walichoifanyia United hawa Glazers, timu haiwezi kununuliwa kwa bei kubwa. Subiria tuone; ila dalili zinaonyesha hoja yako itashindwa.
Sijajua logic yako mkuu, kama unakubali hizo hela zote zimechotwa unakataa nini sasa nilichosema? Sijasema popote Glazzer wapo Against sheria.Nothing illegal hapo mzee! Hii ni kutokana tu na a bad ownership deal na ujanja wa kibiashara wa Glazers.
Mkuu Mc cane shukrani na hongera kwa kulielezea suala hili kinagaubaga. Sasa nimeelewa vizuri hili sakata.Manchester United ipo Sokoni
Baada ya miaka 17 ya umiliki wa Glazers family, iliyokumbwa na mikiki ya kukataliwa na mashabiki, sasa rasmi wameamua kuiweka klabu ya Man Utd Sokoni. Hili limetangazwa tarehe 22/11/2022.
Katika "statement" iliyotolewa na Bodi ya Man Utd na baadaye ikathibitishwa na Avram Glazer, wamiliki wa Man United wameamua kuweka milango wazi kwa wawekezaji wapya kuja kuwekeza (Glazers wakiendelea kuwa wamiliki) au kuiuza (kupata mmiliki mpya) au kuruhusu biashara katika klabu ili kuongeza pato la uwekezaji. Hata hivyo, inatajwa chaguo la kuinunua/kuiuza ndio chaguo lenye nguvu zaidi.
Kwanini Glazers wameamua kuiuza Manchester United?
1. Muendelezo wa mashabiki wa Man Utd kuwakataa Glazers kuwa wamiliki kwa miaka yote 17 ya umiliki wao
2. Glazers kukosa fedha za kuirudisha klabu kuwa klabu tishio kama ilivyokuwa miaka ya nyuma
3. Glazers kukosa fedha za kuisasisha miundombinu ya uwanja wa Old Trafford na Carrington kuwa ya kisasa kama vilabu vingine vinavyofanya (Man City, Real Madrid wameboresha Sana miundombinu yao hivi karibuni)
4. Mgogoro wa kiuchumi duniani kumewanyima Glazers family fursa ya kupata mikopo yenye masharti nafuu kwa ajili ya kuwekeza Manchester United
5. Anguko la Super League ambapo limesababisha uhusiano wa Glazers family na mashabiki kuzorota zaidi na pia umeinyima familia hiyo fursa ya mapato makubwa kutoka Super League.
Man Utd inauzwa bei gani?
Inatajwa kuwa Glazers wapo tayari kukabidhi timu kwa mtu/kampuni ambayo ipo tayari kulipa kiasi cha kati ya paundi bilioni 5 - 9. Hii itaifanya Man Utd kuwa klabu ya michezo ghali zaidi duniani, klabu inayoshika rekodi ni Denver Broncos klabu ya American Football (sio soka) iliyouzwa kwa paundi bilioni 3.9. Tusisahau Chelsea imeuzwa hivi karibuni kwa poundi bilioni 2.5 na Liverpool ipo sokoni kwa gharama ya paundi bilioni 2.7.
Je Mahojiano ya Ronaldo ndio yamesababisha Glazers kuamua kuiuza Man Utd?
HAPANA. Maamuzi ya familia kuhusu kuiuza Yanga yamefanyika kabla ya mahojiano ya Piers Morgan na Cr7. Taarifa ya kuiuza Man Utd ilitoka masaa 4 baada ya Cr7 kufanya mahojiano yale. Haiwezekani ndani ya masaa 4, familia ikae, kisha bodi ikae halafu watangaze maamuzi ya kuiuza klabu.
Lini Man Utakuwa imeshauzwa?
Haiwezi kuwa kabla ya Januari na kama kila kitu kitakuwa sawa bila complications zozote, zoezi hilo litakamilika kabla msimu huu kuisha (May/June 2023). Kutazama time frame ya ununuzi wa Chelsea inaweza kukupa picha ya lini Man Utd itakuwa imeshauzwa.
Nani Wanaotajwa kuwa Wanaimendea Man Utd?
Matajiri wengi wanatajwa, kati yao ni: -
1. Sir Jim Ratcliffe, mfanyabiashara tajiri zaidi Uingereza ambaye pia ni shabiki wa Man Utd. Thamani ya utajiri wake inatajwa kuwa ni paundi bilioni 10.9
2. Matajiri wa mafuta kutoka Saudi Arabia na Dubai
3. Wawekezaji kutoka Mamarekani
4. Amancio Ortega tajiri namba 19 duniani, tajiri wa Kampuni ya Zara Fashion mwenye utajiri wa thamani ya dola za kimarekani bilioni 61.3
5. Apple kampuni kubwa zaidi ya kiteknolojia yenye thamani ya paundi bilioni 2000
6. Wengine
Je Glazers wanaiuza klabu kwa Hasara?
LA HASHA. Miaka 17 Glazer Snr alinunua Manchester United kwa paundi milioni 790, milioni 600 kati ya hizo walikopa na baada ya kuinunua mkopo ukahamishiwa kwenye klabu ya Manchester United. Endapo wataiuza klabu kwa paundi bilioni 5, watakuwa wametengeneza faida ya zaidi ya asilimia 600, tena kwa hela ya mkopo ambao kwa sasa ni klabu ndio inadaiwa.
Mashabiki United wanasemaje?
Mashabiki walio wengi wanatamani klabu ya Manchester United ibadili mmiliki ambaye ataimarisha miundombinu ya klabu na kusajili wachezaji watakaoirudisha klabu katika enzi za ufalme wake
Bila kujali ni Wamarekani, Wasaudia, Wadubai, Wachina, Wahindi au Waingereza... Mashabiki wengi wanataka mmiliki mpya mwenye pochi nene ya kuiletea mapinduzi makubwa klabu ya Manchester United.
Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
2. Mnunuzi anaponunua na deni linajumuishwa. Ni drafting tu ya mkatabaMkuu Mc cane shukrani na hongera kwa kulielezea suala hili kinagaubaga. Sasa nimeelewa vizuri hili sakata.
Pamoja na hayo nina swali moja dogo kama utakua katika wasaa mzuri wa kunijibu nitafurahi sana.
Swali langu ni kuhusu hilo deni. Nitaliuliza katika vipengele vinne kama ifuatavyo:-
1. Kwa sasa limepungua au kuongezeka kwa kiasi gani ?
Kwa maneno mengine tunadaiwa shilingi ngapi kwa sasa kwenye hiyo SONGESHA yetu sisi kama klabu ?
2. Ni nini hatma ya deni hilo katika mauzo au manunuzi ya klabu ? Je, mnunuzi mpya atauziwa deni (litahusika katika uthaminishaji wa klabu bila shaka) na kutakiwa kulihudumia ?
3. Je, deni hilo haliwezi kuwa kama kikwazo cha baadhi ya wanunuzi kuvutiwa kutaka kuinunua klabu ? Deni hilo halifukuzi wateja kweli ?
4. Je, katika mchakato huu wa kuuzwa kwa klabu, hatuwezi kupata mnunuzi mpya ambaye nayeye atakua amekopa fedha na kisha deni hilo kulihamishia klabuni kama walivyofanya hawa Glazers ?
Yangu ni hayo.
Bavaria Chief-Mkwawa na wajumbe wengine mnaweza kuweka neno pia.
Mkuu deni roughly lipo vile vile sometime linapungua kidogo sometime linaongezeka kidogo.Mkuu Mc cane shukrani na hongera kwa kulielezea suala hili kinagaubaga. Sasa nimeelewa vizuri hili sakata.
Pamoja na hayo nina swali moja dogo kama utakua katika wasaa mzuri wa kunijibu nitafurahi sana.
Swali langu ni kuhusu hilo deni. Nitaliuliza katika vipengele vinne kama ifuatavyo:-
1. Kwa sasa limepungua au kuongezeka kwa kiasi gani ?
Kwa maneno mengine tunadaiwa shilingi ngapi kwa sasa kwenye hiyo SONGESHA yetu sisi kama klabu ?
Ndio mkuu mnunuzi mpya anauziwa deni, moja ya sababu Chelsea imeuzwa bei rahisi ni sababu Abramovich amesamehe 1.8B kama kumbukumbu zipo sahihi ambayo alikuwa anawadai Chelsea, ila kwa United ni viceversa Atakayenunua deni linamuhusu.2. Ni nini hatma ya deni hilo katika mauzo au manunuzi ya klabu ? Je, mnunuzi mpya atauziwa deni (litahusika katika uthaminishaji wa klabu bila shaka) na kutakiwa kulihudumia ?
Tayari ni kikwazo kuna watu wamejitoa sababu ya Deni, halimake sense, kuna kundi la washabiki wa united wenye pesa waliwahi kujichanga hadi 1.5B na kumtest Glazzer kama miaka 12 iliopita ila alikataa, kundi hilo naona kiongozi wake tayari amekataa valuation ya sasa na wamejitoa.3. Je, deni hilo haliwezi kuwa kama kikwazo cha baadhi ya wanunuzi kuvutiwa kutaka kuinunua klabu ? Deni hilo halifukuzi wateja kweli ?
Inawezekana, ila wakati Chelsea inauzwa kulikuwa na kipengele kabisa kinaitwa Anti Glazzer, kwamba mtu awe na Cash, hakuna mambo ya kuweka madeni kwenye timu, so i hope Utd pia wataweka hiko kipengele na Mmiliki aingize hela kwenye timu n sio kutoa.4. Je, katika mchakato huu wa kuuzwa kwa klabu, hatuwezi kupata mnunuzi mpya ambaye nayeye atakua amekopa fedha na kisha deni hilo kulihamishia klabuni kama walivyofanya hawa Glazers ?
Yangu ni hayo.
Bavaria Chief-Mkwawa na wajumbe wengine mnaweza kuweka neno pia.
3. Deni haliwezi kuwa kikwazo. Hawa matajiri ambao wamepanga foleni kununua klabu, wana taarifa nyingi sana kuhusu hali ya hilo deni, athari zake na namna ya kulijumuisha katika fedha watakayotoa kuinunua United. Hilo deni sio siri, lakini bado matajiri wanaitamani sana United. Ukiachana na kikosi, miundombinu n.k. asset kubwa ambayo Man United wanajivunia ni kuwa na mashabiki bilioni 1 na milioni 100 duniani. Huo ni mtaji kwa klabu.Mkuu Mc cane shukrani na hongera kwa kulielezea suala hili kinagaubaga. Sasa nimeelewa vizuri hili sakata.
Pamoja na hayo nina swali moja dogo kama utakua katika wasaa mzuri wa kunijibu nitafurahi sana.
Swali langu ni kuhusu hilo deni. Nitaliuliza katika vipengele vinne kama ifuatavyo:-
1. Kwa sasa limepungua au kuongezeka kwa kiasi gani ?
Kwa maneno mengine tunadaiwa shilingi ngapi kwa sasa kwenye hiyo SONGESHA yetu sisi kama klabu ?
2. Ni nini hatma ya deni hilo katika mauzo au manunuzi ya klabu ? Je, mnunuzi mpya atauziwa deni (litahusika katika uthaminishaji wa klabu bila shaka) na kutakiwa kulihudumia ?
3. Je, deni hilo haliwezi kuwa kama kikwazo cha baadhi ya wanunuzi kuvutiwa kutaka kuinunua klabu ? Deni hilo halifukuzi wateja kweli ?
4. Je, katika mchakato huu wa kuuzwa kwa klabu, hatuwezi kupata mnunuzi mpya ambaye nayeye atakua amekopa fedha na kisha deni hilo kulihamishia klabuni kama walivyofanya hawa Glazers ?
Yangu ni hayo.
Bavaria Chief-Mkwawa na wajumbe wengine mnaweza kuweka neno pia.
Boss, logic yangu ilijengwa katika hili ulilolisema "Lazima kuna deal la chini ya kapeti wameingia ili Bank ifaidike..."Sijajua logic yako mkuu, kama unakubali hizo hela zote zimechotwa unakataa nini sasa nilichosema? Sijasema popote Glazzer wapo Against sheria.
Kumbe kuhusu miundombinu kuwa chakavu Ronaldo alisema ukweliMkuu deni roughly lipo vile vile sometime linapungua kidogo sometime linaongezeka kidogo.
Hili graph linaonesha deni kuanzia 2005
View attachment 2427202
2006 ilikuwa ni 590M na 2022 ni 620M, ukumbuke hili deni ni la Glazzer na sio la Man U wamehamisha hili deni kwenye timu kwa ajili ya Biashara zao Binafsi.
Ndio mkuu mnunuzi mpya anauziwa deni, moja ya sababu Chelsea imeuzwa bei rahisi ni sababu Abramovich amesamehe 1.8B kama kumbukumbu zipo sahihi ambayo alikuwa anawadai Chelsea, ila kwa United ni viceversa Atakayenunua deni linamuhusu.
Tayari ni kikwazo kuna watu wamejitoa sababu ya Deni, halimake sense, kuna kundi la washabiki wa united wenye pesa waliwahi kujichanga hadi 1.5B na kumtest Glazzer kama miaka 12 iliopita ila alikataa, kundi hilo naona kiongozi wake tayari amekataa valuation ya sasa na wamejitoa.
Inawezekana, ila wakati Chelsea inauzwa kulikuwa na kipengele kabisa kinaitwa Anti Glazzer, kwamba mtu awe na Cash, hakuna mambo ya kuweka madeni kwenye timu, so i hope Utd pia wataweka hiko kipengele na Mmiliki aingize hela kwenye timu n sio kutoa.
Na mkuu kuongezea Glazzer wanauza sababu timu inataka investment ya maana, sio tu hilo deni, Old trafford yenyewe inahitaji karibia £1B either ibomolewe ijengwe ama ufanywe ukarAbati mkubwa, bado viwanja vya mazoezi na miundombinu mingine, kifupi Glazzer hawajaboresha chochote toka 2005 club ipo vile vile, mpaka vitimu vidogo kama Leicester vina modern infrastructure.
So atakayenunua inabidi awe willing kuspend zaidi ya kununua UTD awe commited kujenga na miundombinu.