Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Chief unalinganisha Man U na Burnely,?? Uko serious Mkuu.
Timu yenye fans duniani Bil 1.1, ndio uilinganishe na Burnely kweli.??

Kivyovyote Vile Man U ikiuzwa haitauzwa chini ya £4billions.
 
Bunle

Burnley Mkuu, come on .... Burnley ni kama duka lililo DSM na man UTD ni duka lililo Dubai....

Nani akiwekeza atarudisha haraka zaidi??
Business inaenda sambamba na numbers.

£4B - £10B ni pesa nyingi sana na ukizingatia zote zitaenda kwenye ununuzi. Kufanya investment ya maana itakuwa ni jambo gumu sana.

Last season United wametengeza faida ya £92.2m kwenye mashindano waliyoshiriki na £58.3m kwenye wadhamini.

While Newcastle wametengeneza £12.2m kwenye mashindano na £34.9m kwenye wadhamini.

Wanachofanya wamiliki wa Newcastle sasa hivi wana-add value kwenye ile timu na soon itaanza kuwa kivutio kwa investors, watashiriki mashindano makubwa pia wataongeza kitu kwenye mapato yao.

Wafanya biashara wanaangalia vitu realistic. Kununua United kwa £4B - £10B ni uwekezaji mbaya kwasababu bado utahitajika kuzama mfukoni zaidi na kupata profit inabidi uipe club thamani kubwa sana na kuuza baada ya miaka kadhaa kitu ambacho siyo guaranteed.

Mfano wa kununua Burnley ni mzuri sana kwasababu ni timu itakayorudi EPL na ni cheap kushinda United. Hapo ni kibiashara zaidi ila kama una mahaba na club ndiyo unaweza kutoa £4B - £10B.
 
Sawa na useme kwanini mtu anunue Ferrari Roma kwa $400,000 wakati anaweza nunua Subaru kwa $35,000 akaitune ikatoa horsepower sawa na Ferrari?

Mtu anaepiga mahesabu kwa mtindo huo hana hela. Anatafuta cheap option.

Multiplier effect ya kumiliki Man Utd ni kubwa sana kuliko Burnley. Arsenal hawajawahi chukua UCL ila wana loyal fan base. Hata Burnley wakiongoza league kwa misimu 10 mfululizo, satisfaction haiwezi kuwa sana na Man Utd ichukue mara 3 mfululizo.

Kwanini wachezaji wanatamani kucheza EPL au Europe wanakataa kwenda South America, USA, China au Arabuni?

Kuna intangible asset ipo kwenye ligi za Europe ambazo hizo ligi nyingine hazina. Tena zinapelekea ulipwe hata mishahara mizuri tu.

Man Utd ina 1.1bn fan base. Just imagine 1 person out of 8 anashangilia Man Utd. Ni asset kubwa sana.

Man City na Newcastle ni nothing when it comes to comercial value. Usitegemee hata inunuliwe kwa bei sawa na Arsenal au Chelsea.

Man Utd, Madrid na Barca. Zipo kwenye league ya aina yake kwenye mambo ya pesa.
 
Deal lazima litokee.

Kama Romano ana taarifa ni rahisi kwa mtu yeyote ndani ya Man Utd ajue kinachoendelea.

Hata mimi ningejua mapema kabisa ningenunua stocks options nikijua hii ni good news kwa hisa za man utd.

Thats obvious. Some people in the cycle lazima wajue.
 
Man Utd ni cash generating machine. Ni wakati wa corona pekee ndo tulitengeneza hasara.

Pesa wanayoitengeneza pekee wanaweza fanya maendeleo makubwa sana tena bila kusubiri njuruu ya mmiliki.

Tottenham wametumia £1bn kujenga uwanja wa kisasa Europe nzima. Na sisi tumetumia kiasi hikohiko kuwapelekea dividend wakina Glazers.

Leo ningekuwa nainunua Man Utd, ningetoa £1bn kujenga uwanja mpya tu. Zile faida wanazopata wanunue wachezaji na kufanya maintanace kwenye facilities zilizobaki.

Then nakaa pembeni, sichukui hata sh 100 yao.
 
Chief unalinganisha Man U na Burnely,?? Uko serious Mkuu.
Timu yenye fans duniani Bil 1.1, ndio uilinganishe na Burnely kweli.??

Kivyovyote Vile Man U ikiuzwa haitauzwa chini ya £4billions.
Hizi ni biashara tusiongee kishabiki.

Chukua mfano United total profit yake last season ni £150m na Newcastle United ni £47m.

Halafu ununue United kwa £4B au zaidi bado ufanye investment kwenye infrastructure + players siyo chini ya £1.2B hapo kwenye £4B sijui kama inalipa na deni benki. Wakati huo kuna timu kama Newcastle imenunuliwa kwa £300m na inatengeneza faida ya £47m na kuna possibility ya ongezeko la mapato.

Ukipiga hesabu ni nani atakuwa kafanya biashara ya maana ambayo in 10 years ana faida ya kutosha na on top of that anaweza kuiuza club kwa thamani ya juu?!
 
Moja ya sababu ligi ya Uingereza ipo competitive ni kwamba mpunga unagawanywa kwa timu zote, even timu inayoshuka daraja inapiga hela ya kutosha, hivyo kinachobakia hapa ni commercial value tu.

Utd anapata kiasi gani kwa mwaka zaidi ya Burnley? Mwaka 2017, 2018, 2019 etc Commercial revenue ni around £170M.

Inamaana mtu akitoa 5B yake badala ya 300M kununua timu ndogo atakaa miaka kama 20 hivi kurudisha hela yake kabla hajaanza kupata hela. Ukumbuke Hio commercial revenue yenyewe kuna mishahara na cost nyengine kibao.

Angalia faida ya United miaka kama 10 iliopita


Faida kubwa kabisa ni £146M ambayo roughly ni Bilioni 400 za Kibongo, miaka 12 iliopita mara 5 timu imepata hasara, kwa uwekezaji wa £5B hio return ni mbovu,

Eka hio hela kampuni yoyote ya Tech unapiga mpunga wa maana, ndio maana unaona hakuna investor yoyote wa maana kwenye Mpira timu kubwA, usifikiri hawazioni hizo team.

Tajiri wa Liver alinunua timu 300m sasa hivi anauza 3B. United ukinunua 5B mgumu kuja kuuza.
 
Kwa lugha rahisi unanunua Newcastle 12 kwa United moja so chukua Faida ya Newcastle zidisha mara 12.
 
Kununua United kwa £4B ni bad investment unless uwe mfanyabiashara na shabiki wa United.
 
Kununua United kwa £4B ni bad investment unless uwe mfanyabiashara na shabiki wa United.
Hiyo ni kama 3.7B katika dollar, inaweza kuwa hela nyingi ila kumiliki tim kwenye premier league tena Club like Man Utd sio bad investment. Moja ya club 3 dunian zenye fanbase kubwa

Why unahisi Glazer family wahihusishe Rainee group, na why mwanzon walikataa offer ya Sir Jim Ratclife, now wanahitaj Bidding war na kiasi wanachokitaka watakipata tu.
 
Hapa kuna vitu Viwili kuna Thamani ya Club na Faida ya investment.

Thamani ya Club kama Manchester United ni kubwa mara kumi ya hiyo Newcastle. .
Ndio maana nikasema Manchester United ikiuzwa itakuwa ni zaidi ya £4billions.
Mfano mdogo Chelsea juzi imeuzwa kwa £3 billions na ushee.

Ujika kwenye faida ya investiments..
Hili ni Swala pana.
Wamiliki wengine Faida zao si direct. Mfano timu hizi zinazomilikiwa na Waarabu( PSG, Mancity na Newcastle) hazina faida ya maana ukilinganisha na investments wanazofanya.

Na hata Manchester united ikiuzwa mmiliki yeyote atakae kuja hakuna faida ( kifedha) ya maana atapata ukicompare na investiment atakayofanya.
 
Wayne Rooney: "It's sad to see the story of one of the greatest players of all time, Cristiano Ronaldo at Manchester United, ended like this. He was a good servant to the club. I wish him the best wherever he goes."

#RonaLdoFinallYOUT[emoji23][emoji469]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]
 
United have now started exploring the market for a striker to sign in January.


#FabrizioRomano
#RonaLdoFinallYOUT[emoji23][emoji469]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]
 
Sir Jim Ratcliffe will bid for #MUFC after the Glazers formally put the club on the market.

#JamesDucker
#RonaLdoFinallYOUT[emoji23][emoji469]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]
 
Watanzania wengi hawajui mpira, na kuna kundi la hawa waliofuata mpira kwa sababu ya betting ni tatizo kubwa zaidi.

Wanautazama mpira katika dimension moja tu ( Goals)
 
Avram Glazer about Cristiano Ronaldo contract terminated: “Well, I'll tell you about Cristiano Ronaldo - he's a great Manchester United player, I appreciate everything he's done for the club”.

“I wish Ronaldo the best luck in the future”.

#RonaLdoFinallYOUT[emoji23][emoji469]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]

man utd |
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…