Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United statement on the Cristiano Ronaldo situation

“Manchester United has this morning initiated appropriate steps in response to Cristiano Ronaldo’s recent media interview.
We will not be making further comment until this process reaches its conclusion”.
 
Mwisho wa zama?
mahusiano yake na manchester united yanamalizika kwa nafsi yenye machukizo.
ni kama vile naiona sura yake ya utotoni ikinijia mbele yangu.

siku yake ya kwanza akiwa amevalia jezi namba 7 ndani ya old trafford dhidi ya bolton wanderers mwaka 2003.
wakati huo nimekaa kibanda umiza namuangalia kwa mara yangu ya kwanza.
nimesikitishwa sana
 
  1. majivuno juu ya mafanikio yako yawe na kiasi (be humble)
  2. hakupaswa kuonyesha utofauti wake dhidi ya mwalimu mbele ya hadhira hata kama hakupi heshima inayostahili
  3. hakupaswa kuonyesha madhaifu ya klabu inayomlipa mshahara mbele ya hadhira, ishu za uchakavu wa miundombini, sera mbovu za uendeshwaji wa klabu zinafahamika
  4. kwa mchezaji aina yake alikuwa na uwezo wa kuziwasilisha changamoto zote mbele ya watu mashuhuri pale klabuni bila ya media kufahamu
  5. kiuhalisia hakuna baya alilolizungumza juu ya klabu, ila njia alioitumia kuwasilisha mabaya hayo ndio kosefu.
  6. si kila anayepingana naye ana wivu dhidi yake kwa sababu ya mafanikio aliojaaliwa pamoja na mvuto wa sura yake,
  7. hakupaswa kuwajibu wapinzani wake huku akiwaonyesha jinsi alivyowazidi kimaumbile ya sura yenye mvuto na mafanikio yake binafsi
  8. Nampenda sana cristiano ronaldo kwa sababu ni mchezaji niliyeshuhudia ukuwaji wake pamoja na wayne rooney wa everton.
  9. naipenda sana manchester united ndio klabu kubwa ya kwanza kuiona kwenye televisheni
  10. tumeishi miaka 12 bila ya ronaldo, tutaishi miaka 100 bila ya ronaldo
  11. cha umuhimu putin asigonge nucleur
 
Erik ten Hag dropped Garnacho during pre-season for turning up late to team meetings twice.
According to MEN, there's been "a real change in attitude" from Garnacho.
He's now among the first to arrive Carrington for training, and Man Utd are happy with him.
 
The Glazers, John Murtough, Richard Arnold and Erik ten Hag have decided that Cristiano Ronaldo has burnt his bridges at the club, and there is no way back for him.

Cristiano Ronaldo’s teammates also expect him to leave.

[Daily Mail]
#RonaLdoOUT
#GlazerOUT
#GGMU

manutd
 
#RonaLdoOUT
#GlazerOUT
#GGMU

manutd
IMG_20221118_195016_152.jpg
 
#mufc have taken the first legal steps towards sacking Cristiano Ronaldo, by effectively ending his contract without paying any of the £16 million he would get if he stayed until June.

#mufc’s lawyers are satisfied that Cristiano Ronaldo has breached the terms of his contract, with some of the comments in his interview.

#RonaLdoOUT
#GlazerOUT
#GGMU

manutd
IMG_20221118_195028_112.jpg
 
Back
Top Bottom