Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Huyu Rashford ni mchezaji mmoja mpumbavu sana, na anayemtetea huenda naye ni mpumbavu.
Kutukana watu wenye mtazamo tofauti na wako ni dalili ya kukosa busara na hekima tu.

Unavyomuona wewe Rashford ni mpumbavu kuna wengine wanaona kuwa ni mchezaji mzuri ila kukosa nafasi ni jambo la kawaida katika football.

Kizazi cha 2020 cha mashabiki wa mpira mnamatatizo sana.
 
Huyu mtoto unayesema si level yake umemuona? Umeona goli hilo Dejan7?
Garnacho alipaswa kuwepo toka dakika ya kwanza.
Kwa intensity ya mechi ilivyokuwa muda huo alioingia dogo ulikuwa sahihi kabisa ila siyo kuanza.
 
Kwamba cr7 anaona dalot, Casemiro na licha ndo wachezaji pekee wazuri pale utd?,,,,, kamtosa mreno mwenzie Bruno ? Mshikaji wake varane ?

Mara eti rooney alimwaalika cristianoJr akacheze na wanae mwamba akashangaa Sana, kwamba Rooney anataka attention/headlines kwenye media !!!!

Hakuna ubishi jamaa amekuwa na incredible career, with lots of records titles etc,,,, ila anajimaliza mwenyewe, anaimaliza career yake vibaya ! Sidhani Kama Kuna timu yoyote ya ulaya itamuhitaji January, may be aende uarabuni, au marekani, china walishaacha kumwaga hela hovyo hovyo !
 
Halafu hili la kutoa hiyo mural wala haihusiani na ukiazi wa Ronaldo. Kuna fainali ya mchezo wa raga wa wanawake tarehe 19 Nov hapo OT ndiyo maana wanatoa. Mpango wa kutoa ulikuwepo hata kabla ya hili la Ronaldo.
Tusubirie basi hiyo mural irudishwe..
 
Kwamba cr7 anaona dalot, Casemiro na licha ndo wachezaji pekee wazuri pale utd?,,,,, kamtosa mreno mwenzie Bruno ? Mshikaji wake varane ?

Mara eti rooney alimwaalika cristianoJr akacheze na wanae mwamba akashangaa Sana, kwamba Rooney anataka attention/headlines kwenye media !!!!

Hakuna ubishi jamaa amekuwa na incredible career, with lots of records titles etc,,,, ila anajimaliza mwenyewe, anaimaliza career yake vibaya ! Sidhani Kama Kuna timu yoyote ya ulaya itamuhitaji January, may be aende uarabuni, au marekani, china walishaacha kumwaga hela hovyo hovyo !
Kaongea mengine mengi yenye ukweli ,

Kwani Nani atabisha hao wachezaji aliowataja Ndio wenye mchango mkubwa kwa man u had Sasa

Mtoe Martinez na dalot

Muweke Maguire na wan bissaka ,utaelewa man u imgekuwa wapi muda huu

Kuna mengi ya msingi kaongea kuliko aliyopuyanga Kama kutomuheshimu kocha,
 
Kwamba cr7 anaona dalot, Casemiro na licha ndo wachezaji pekee wazuri pale utd?,,,,, kamtosa mreno mwenzie Bruno ? Mshikaji wake varane ?

Mara eti rooney alimwaalika cristianoJr akacheze na wanae mwamba akashangaa Sana, kwamba Rooney anataka attention/headlines kwenye media !!!!

Hakuna ubishi jamaa amekuwa na incredible career, with lots of records titles etc,,,, ila anajimaliza mwenyewe, anaimaliza career yake vibaya ! Sidhani Kama Kuna timu yoyote ya ulaya itamuhitaji January, may be aende uarabuni, au marekani, china walishaacha kumwaga hela hovyo hovyo !
To be honest Manchester United siyo timu ya hadhi ya kucheza WC players kama Christiano Ronaldo , nafkr hata yeye atakuwa anajuta Sana kurudi hapo ndondo club , na ndo mana amemlaumu moja Kwa moja Fergie kumwingiza Choo cha kike 😁😁

Tangu Fergie ang'oke kuna wachezaji wengi top class + managers wameenda pale wakitegemea kuna kitu , mwisho wa sku kila mmoja ametoka anatukana 😁 sio pogba, sio Sanchez , sio Dimaria , sio Mourinho , sio van gaal , sio zlatan , sio cavani wote hawana hamu ....

So Ronaldo sio wa Kwanza, sema yeye amejilipua Kwa sababu yanayoendelea yanatishia ugali wake na ameona Hana cha kupoteza , wachezaji wote wakali duniani wakienda timu miyeyusho lazima waflop tuu mana kamwe timu haitegemei mchezaji mmoja , lazima iwe organized kuanzia nje ya uwanja mpak ndani ya uwanja , ukishajitengenezea jina ni kosa kubwa kwenda kwenye timu ambayo ipo poor organized , ipo corrupted , unaenda kujimaliza.... Lazima uende kwenye timu ambayo ipo vizur , uamzi wa kwenda Man city ulikuwa sahihi Sana , asa makelele ya kwamba GOAT karudi yakampoteza 😁😁

Hope by January ataenda Napoli au Bavaria akale kikombe cha mwisho 😁😁 aachane na midtable team kama Man u
 
After De Gea was told he wouldn't be called up to the Spain squad, he received a message from the president of the Federation, who said ‘David I am glad that you have finally made the decision you have been thinking about [to retire].

De Gea replied: 'Sorry? There is no renunciation of anything, who has told you that I renounce anything? The coach has told me that he is not going to count on me, but I have never renounced the national team, nor do I intend to do so, that is if I am called up'

[JoseAlvarez]
#RonaLdoOUT[emoji706]
#GlazerOUT[emoji706]
#GGMU[emoji123][emoji41]

manutd
 
Ronaldo ainamishe kichwa tu
Mbappe kapambana sana na Messi
ila Messi alikaa kimya tu

Ila kwa alipofikia ronaldo hakuna timu kubwa yoyote itakayomkubali ulaya

Ronaldo tangu zamani ni mjivuni lakini uwanjani alikuwa anaonesha sana hivyo hakuna aliyekuwa anajali
 
Kwanza case ya cr7 na lapulga ni tofauti

Upande wa messi
Yule jamaa ni zaidi ya mchezaji,
Yupo cool
Hana maneno kabisa, wachezaj wenzake pale barca walikua wanaongea hili

Ata yeye asipo funga atashangila na wenzake, fresh kabisa
Lakini sio cr7, too much ego

Messi anampita mbali sana cr7
Kuanzia kiuchezaji hadi ku-social na watu,

Ule ubishi wa kijinga, messi na cr7 nani ni zaidi
Ulisha kitambo tu
Na hivi sasa cr7 ndio kapigia kabisa mstari, kuwa messi ni sayari nyingi

Messi na cr7 katika ubora wao
Unapewa nafasi moja ya usajiri, wewe unamchukua nani hapo? Jibu baki nalo

Mbape anamletea kiburi goat
Neymar akaununua ugomvi, muda wote messi yupo cool like nothing happen
Juzi katika mbape akaanza kulalamika hana Furaha pale PSG

The real definition of greatest of all time ni MESSI
 
Mwisho wa zama?
mahusiano yake na manchester united yanamalizika kwa nafsi yenye machukizo.
ni kama vile naiona sura yake ya utotoni ikinijia mbele yangu.

siku yake ya kwanza akiwa amevalia jezi namba 7 ndani ya old trafford dhidi ya bolton wanderers mwaka 2003.
wakati huo nimekaa kibanda umiza namuangalia kwa mara yangu ya kwanza.
nimesikitishwa sana
 
  1. majivuno juu ya mafanikio yako yawe na kiasi (be humble)
  2. hakupaswa kuonyesha utofauti wake dhidi ya mwalimu mbele ya hadhira hata kama hakupi heshima inayostahili
  3. hakupaswa kuonyesha madhaifu ya klabu inayomlipa mshahara mbele ya hadhira, ishu za uchakavu wa miundombini, sera mbovu za uendeshwaji wa klabu zinafahamika
  4. kwa mchezaji aina yake alikuwa na uwezo wa kuziwasilisha changamoto zote mbele ya watu mashuhuri pale klabuni bila ya media kufahamu
  5. kiuhalisia hakuna baya alilolizungumza juu ya klabu, ila njia alioitumia kuwasilisha mabaya hayo ndio kosefu.
  6. si kila anayepingana naye ana wivu dhidi yake kwa sababu ya mafanikio aliojaaliwa pamoja na mvuto wa sura yake,
  7. hakupaswa kuwajibu wapinzani wake huku akiwaonyesha jinsi alivyowazidi kimaumbile ya sura yenye mvuto na mafanikio yake binafsi
  8. Nampenda sana cristiano ronaldo kwa sababu ni mchezaji niliyeshuhudia ukuwaji wake pamoja na wayne rooney wa everton.
  9. naipenda sana manchester united ndio klabu kubwa ya kwanza kuiona kwenye televisheni
  10. tumeishi miaka 12 bila ya ronaldo, tutaishi miaka 100 bila ya ronaldo
  11. cha umuhimu putin asigonge nucleur
 
Back
Top Bottom