Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hakuna mwanadam anaweza kuwa sahihi asilimia mia lakini Martinez ni karata dume,anafanya kazi utafikiri timu ya baba yake.

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
 
Cristiano anaijua united, Cristiano anajua nini kinamiss pale UTD, kipindi cha mafanikio alikuwepo na sasa kipindi cha hali ngumu yupo! Anajua nini kinahitajika au kimepungua kwenye club yake. Anajua ni mdudu gani anaetutafuna kila siku bila kufikia muafaka. Naomba tumsikilize na tumheshimu kama legendary pale UTD
 
Ronaldo Kama Mbwai na iwe Mbwai

-Nimesalitiwa
-Club ilinifukuza
-Hakuna maendeleo tangu Feg aondoke
-Ten Hag ni snitch
-Hawaniheshimu
-Sina hakika kama nitarudi kuichezea Manchester
-Mimi sio Muongeaji ila imebidi kwajili ya kuwajuza ukweli mashabiki na wapenzi wangu .
 
Progress is Zero!ni ukweli tangia 2013 Manchester United ipo ipo tu nothing new Ronaldo anaijua United na ana uchungu nayo for example Fergie alimpigia simu na akaamua kufuata moyo wake wa kurudi nyumbani but since hakuna mapya kabisa
 
We ni mjinga Tu hata kupoteza mipira ericksen ndio anamsababishia ?


Mpira ni mchezo WA wazi haihitaji hayo matakwimu kuniambia Fernandez ni mchezaji mzuri au la.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Ronaldo kasema wanamtenga analala kitanda kimoja na Martinez ni mfupi chakula hapewi anadai mishahara ya miezi 6
Buggati yake mpka Leo ipo garage
Ten hag anamuonea wivu kisa yy ana nywele Kocha ana upara [emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Bangi mbichi ni mbaya.
 
Ronado kasema watu mule ndani walikuwa wanamtenga ,walimnyima kitanda Cha kulala alikuwa analala na Sancho ,walimuahidi swimming pool nzuri ya kuogelea lakin alikuwa anaenda kuoga Stamford bridge ,mshahara hawajamlipa mwezi wa tatu huu ,chakula Cha kulisha familia hawampi ,Kila siku wafanya kazi wa mule OT wanamlisha makande ,hakuna soft drinks na maji wakati wa HT kupozo Koo ,watu wote pale OT walikuwa wanamchukia ,kasema ETH anawivu sana ,na hamheshimu ,ilifika hatua Hadi nguo za mazoezi hapewi inabid afue zile alizotumia game iliyoisha wakati wengine wamepewa mpya ....kasema mengi sana Ronaldo [emoji23]

Kasema hata kanyaga Tena kwenye uwanja wa OT ....
 
Haichekeshi

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Unatoa wapi muda wa kuandika upupu ?
 
Ujasiri upi wakati kaongea FACTS bila kupapasa macho
Kwenye suala la kocha kumkataa, EtH yupo sawa 100% wala hajawa betrayed. Kama hafai mifumo ya kocha asiambiwe?

Sehemu Ronaldo alipoongea facts ni kuwachana Glazers kumleta Rangnick mtu ambaye hata siyo kocha na kumpa majukumu ktk club kubwa kama United.

Pia suala la miundombinu anasema hakuna kilichobadilika kila kitu kipo vilevile tangu ni kijana mdogo wa miaka 21. Technology za kizamani. Hata mashabiki wanaoenda Old Trafford wanasema paa la uwanja linavuja.

Glazers hawapo serious ni jambo zuri mtu mwenye wafuasi wengi amewachana kweupe. Club haipo serious kabisa toka SAF kasepa. Tusubiri full interview tu.
 
Sio Ronaldo tuu , wajanja wengi walishaisemea hii timu , wafia timu wa buza njooni sasa..wazee wa kusifia rushford , hii timu ina wajuaji hii 😬😬 , tunalojua progress ni zero , kiufupii kwishaaaa hamna timu pale
 
Progress is Zero!ni ukweli tangia 2013 Manchester United ipo ipo tu nothing new Ronaldo anaijua United na ana uchungu nayo for example Fergie alimpigia simu na akaamua kufuata moyo wake wa kurudi nyumbani but since hakuna mapya kabisa
Waambie tuu ukweli huyo tenhag wanayemsifia , msimu ujao mwez wa 12 watakuwa wamemtimua, 😁😁😁 sa hv anasingizia fungu la usajili , watampa fungu dirisha dogo na watamuongezea fungu dirisha kubwa , zen atakula kichapo mfulululizo mwez wa 12 next year wanamfungashia vilago
 
Ronaldo kasema wanamtenga analala kitanda kimoja na Martinez ni mfupi chakula hapewi anadai mishahara ya miezi 6
Buggati yake mpka Leo ipo garage
Ten hag anamuonea wivu kisa yy ana nywele Kocha ana upara [emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wewe jamaa una laana sio bure.
 
Wafia timu mmekasirika?? Wacha mchomwe Sindano ya Ukweli. Polepole mtapona tuu.

Huwezi niambie Zlatan, Mourinho, Lukaku Pogba, Cavani, Rangnick, Eric Bailly na Ronaldo ni Wapumbavu, HAPANA.

Eti "Kasema ukweli "ILA". Hakuna cha ila, pambaneni na Ukweli acheni kutafuta Kichaka.
 
Kitendo cha PENDU kumsema vibaya ETH
Naona january asepe tu ETH kamvumilia sana alikataa kuingia sub dhid ya spurs
Akapewa ukapteni bado mpira wake mbovu juzi dhid ya villa tukafungwa 3 yeye akuwepo ndani bila msaada sasa naelewa kwanini florentino perez aliuza hii flop kwa juve
 
Msimu huu naona tutamaliza ligi na GD ileile tuliyomaliza nayo mwaka jana.
Hii timu ikibahatika kuongoza mechi kwa goli moja wachezaji wanarelax hawajisumbui kabisa kutafuta goli la pili, wanahesabia tayari wamemaliza kazi.
Presha inaanza baada ya timu pinzani kusawazisha.
Mechi zetu nyingi kama ni kushinda basi ni 1-0, 2-1, 3-2 ni mechi chake sana ambazo hua tunaongoza kwa goli 2+
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…