Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,226
- 44,221
sio jana tu, toka msimu uanze anacheza vizuri, rotation nzuri sana ya Casemiro, Mc tominay akicheza Mbele anakuwa na perfomance nzuri zaidi kuliko akikaa nyuma.Unazungumziaje performance ya mactominay jn??
just ushauri mkuu, tafuta kazi, hisa watu hawanunui hisa kutajirika atleast mitaji yetu hii, S&P 500 hisa zimeshuka kwa asilimia 15 ndani ya huu mwaka, kina FB, Apple, Microsoft na makampuni yote makubwa hisa zinashuka, hali mbaya dunia nzima wapi utapata hela za kirahisi hivyo?Ho ni hisa za masoko ya ulaya kaka
[emoji848]Tumepewa Burnley.
Unafikiri Gapko atakuja january?sio jana tu, toka msimu uanze anacheza vizuri, rotation nzuri sana ya Casemiro, Mc tominay akicheza Mbele anakuwa na perfomance nzuri zaidi kuliko akikaa nyuma.
Wewe kujua kwingi alafu ujui ata napokwambia nafany eci na ewd ujui ni kitu gani we umekalia kupinga hya masoko yanatoa price yke high volatility ndoma wanapenda kuyatumia Sasa wewe FX yenyewe umeadisiwa unataka kujifanya mjuaji we unajua kw siku naingiza bei gani yan nch nying km Afghanistan Nigeria south Africa Canada USA UK na mataifa mengine hao watu wake we unawazid akiri wewe umeridhika kuw masikin anayetaka kupiga hatua Moja kwenda hatua nyingine atanitafuta na uzuri watu 6 washanitafuta na nishawapa maelekezo wameelewa na uthibitisho na research zao wameona hiki kitu ni Cha kweli we Kaa kimya kama utak usipoteshe umajust ushauri mkuu, tafuta kazi, hisa watu hawanunui hisa kutajirika atleast mitaji yetu hii, S&P 500 hisa zimeshuka kwa asilimia 15 ndani ya huu mwaka, kina FB, Apple, Microsoft na makampuni yote makubwa hisa zinashuka, hali mbaya dunia nzima wapi utapata hela za kirahisi hivyo?
Yani hyu mjuaj anizid maisha ata robo hii hii trade bayofanya nalisha familia yako nzimajust ushauri mkuu, tafuta kazi, hisa watu hawanunui hisa kutajirika atleast mitaji yetu hii, S&P 500 hisa zimeshuka kwa asilimia 15 ndani ya huu mwaka, kina FB, Apple, Microsoft na makampuni yote makubwa hisa zinashuka, hali mbaya dunia nzima wapi utapata hela za kirahisi hivyo?
Jamaa kasema Ni ushauri tu ingetosha kuuchukua au kuacha Sasa Kama umepanic hivi Mambo ya kulisha familia yake Tena yanatoka wapi,,huwezi kua na hela ukabehave hivoYani hyu mjuaj anizid maisha ata robo hii hii trade bayofanya nalisha familia yako nzima
I doubt mkuu, ujue Gapko ni Kama Rashford na Garnacho anatokea kushoto, kwa kiwango anachoonesha Garnacho sidhani kama atakuja mtu. Labda kama ETH anataka ambadili awe striker wa kati, maana ndio eneo ambalo tunatakiwa tusajili sababu Martial majeruhi na Ronaldo tia maji tia maji.Unafikiri Gapko atakuja january?
Sijui hata kama unaelewa unachoandika anyway humu ni uzi wa mpira.Mkuu labda nikueleweshe as tunafanya pair mbili index na crypto lkn ktk index tunatrade items ya eci na ewd hyo crypto kw mwez mara Moja kutokana na analysis zao hawatupi mara nying kwhy as tunapata San uhakika wa faida hupo humu Kuna maisha
Utajuwa wewe ila mm ndonajua nmefika level Gani ya maisha na pia tupo humu utakuja kunisikia hii wazako wakiwa mbaliJamaa kasema Ni ushauri tu ingetosha kuuchukua au kuacha Sasa Kama umepanic hivi Mambo ya kulisha familia yake Tena yanatoka wapi,,huwezi kua na hela ukabehave hivo
Jifunze kuandika vizuriWewe kujua kwingi alafu ujui ata napokwambia nafany eci na ewd ujui ni kitu gani we umekalia kupinga hya masoko yanatoa price yke high volatility ndoma wanapenda kuyatumia Sasa wewe FX yenyewe umeadisiwa unataka kujifanya mjuaji we unajua kw siku naingiza bei Gani ysna chin nying km Afghanistan Nigeria south Africa Canada USA UK na mataifa mengine we watu wake we unawazid akiri wewe umeridhika kuw masikin anayetaka kupiga hatua Moja kwenda hatua nyingine atanitafuta na uzuri watu 6 washanitafuta na nishawapa maelekezo wameelewa na uthibitisho na research zao wameona hiki kitu ni Cha kweli we Kaa kimya kama utak usipoteshwe uma
Blocked..Vijana weng na mtfe inaenea kwa Kasi watoto wadogo manamilik magari nyumba za kifahari kwajili ya mtfe Sasa wewe Kaa hivyo hivyo kujifanya mjuajiView attachment 2413321View attachment 2413323View attachment 2413325View attachment 2413326View attachment 2413327View attachment 2413330View attachment 2413331View attachment 2413332View attachment 2413334View attachment 2413335View attachment 2413336
Toa upuuzi wako hapa jukwaani, Kama unapiga hela si zako ? Wewe Dada vpVijana weng na mtfe inaenea kwa Kasi watoto wadogo manamilik magari nyumba za kifahari kwajili ya mtfe Sasa wewe Kaa hivyo hivyo kujifanya mjuajiView attachment 2413321View attachment 2413323View attachment 2413325View attachment 2413326View attachment 2413327View attachment 2413330View attachment 2413331View attachment 2413332View attachment 2413334View attachment 2413335View attachment 2413336
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23]Toa upuuzi wako hapa jukwaani, Kama unapiga hela si zako ? Wewe Dada vp
Unapewa usharudi unapanic, kuandika kwenyewe hujui !
Me nimesoma Sweden kiswahili ndiyo sijui tatizo liko wapToa upuuzi wako hapa jukwaani, Kama unapiga hela si zako ? Wewe Dada vp
Unapewa usharudi unapanic, kuandika kwenyewe hujui !
Vijana weng na mtfe inaenea kwa Kasi watoto wadogo manamilik magari nyumba za kifahari kwajili ya mtfe Sasa wewe Kaa hivyo hivyo kujifanya mjuajiView attachment 2413321View attachment 2413323View attachment 2413325View attachment 2413326View attachment 2413327View attachment 2413330View attachment 2413331View attachment 2413332View attachment 2413334View attachment 2413335View attachment 2413336
Unamanisha ni kilazaJifunze kuandika vizuriView attachment 2413402
We kipindi wenzako wanasoma ulikuwa unaangalia chuchu konziYani hyu mjuaj anizid maisha ata robo hii hii trade bayofanya nalisha familia yako nzima