Song of Solomon
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 2,750
- 5,643
Umemvuruga sana jamaa ujue[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23] sipendi uongo niko nafanya hizi mambo mwaka wa 3 huu. Hakuna mtu anaweza kufanya hivo ni waongo wanataka kuibia watu tu.
Ndy maisha sio rahis huku ufany biashara bure na hasara zipo lkn sio risk San tofaut na biashara nyingine miaka kumi10 ijayo nd utapata elimu hii alafu utasema ulikuwa wap hpo ndipo utanikumbuka mm lkn sijaandika mahali ambaopo namlazimisha mtu ila kama mtu ataona tija atanitafutaMaisha sio rahisi hivi.
Weng wao Kam nyny mmerukupukia forex bila kuw na proper education mmechoma account zenu mnaona uwongo Sasa kitu ambacho ujui FX Yako ya kizamani unafanya na una knowledge wewe wa kuanalaysis soko mwenyewe ila utakuja kuamin ukinitafuta na ukiona account yngu na miamala ambayo nafanyUmemvuruga sana jamaa ujue[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mkuu inatosha,mwenye interest atakutafuta.Angalia my capital hapo sio tu tunaongea watu tunaweka pesa sio maneno meng alafu ingia unapopajua wewe umuangalie hyo broker ni regulated au sio kama hujia nakusaidia ingia wikifx hao wanatoa information zote za mabrokersView attachment 2412937
Wewe Kizazi Gani...danganya mapupu...sio sisiTatizo wabongo Kila kitu tunajifanya alafu tunajua ambaye Yuko teyar kujifany ajui na kupokea maarifa ndiye atakuw mjanja ujanja sio kujifany unajua kile ambacho ujui
Arsenal hatuna shabiki wa hivo, Huyo ni tapeli anatafuta wafuasi humu,kuweni makinYaani huyu shabiki wa AsaniWali Side buggati ametubadilishia gia angani tumeacha kujadili mpira tunajadili mambo ya forex[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]
Phala yoyote atakaejadili mambo ya forex humu ndani nampiga Ban ya wiki[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
Tume concede goli ngp chifuu???Sema mda mwngne tunaujuaji sana mashabiki kila chimbo la Man U lilikua linabeza kikosi cha ETH leo ila kimecheza vzur kuanzia dakika ya 0 mpaka 90 kimecheza kuliko kile cha villa park na Unai hajafanya mabadiriko makuubwa kina Ramsey,Watkins waliotukaanga ndo walewale wa Leo sasa najiuliza tulikwama wapi Villa park Bruno nae sijui anamapepo game nyngne mpaka unataman kumchapa ila game nyngne anakiwasha kama hii ya leo
Gernacho future is Bright...Rash hatukudai leo..Martial unakaa sana offside...Malacia,Maguire Kakichafua MNOO NA KADI JUU ,,UYU KIPA APEWE game nzito tuone uwezo wake villa hawajapiga shot on target nyingii tuone uwezo wake wa saves
FT 4-2
Timu imeconcede goli mbili af anasifia beki kacheza vizurMaguire amecheza vizuri sio..Okay.
Huko ughaibuni kampuni kibao za crypto zimefilisika, bitcoin imeshuka toka milioni 150 mpaka 40, faida gani ambayo ipo kwenye crypto? watu wanauza machine zao za kuchimbia crypto sababu hailipi.Tatizo wabongo Kila kitu tunajifanya alafu tunajua ambaye Yuko teyar kujifany ajui na kupokea maarifa ndiye atakuw mjanja ujanja sio kujifany unajua kile ambacho ujui
Mkuu labda nikueleweshe as tunafanya pair mbili index na crypto lkn ktk index tunatrade items ya eci na ewd hyo crypto kw mwez mara Moja kutokana na analysis zao hawatupi mara nying kwhy as tunapata San uhakika wa faida hupo humu Kuna maishaHuko ughaibuni kampuni kibao za crypto zimefilisika, bitcoin imeshuka toka milioni 150 mpaka 40, faida gani ambayo ipo kwenye crypto? watu wanauza machine zao za kuchimbia crypto sababu hailipi.
Hii issue nayofany hakuna ndugu yang niliyemuacha nyuma na mm ukiacha licha upendo ww unapotrade na mm unanipa commission ndomana me natangaza tuArsenal hatuna shabiki wa hivo, Huyo ni tapeli anatafuta wafuasi humu,kuweni makin
Kama Forex ina hela kwanini asiwashauri ndugu zake na ukoo wake watajirike ,ana upendo gani Hadi aje awape dili humu
crypto inajulikana, Eci na EWD ni nini?Mkuu labda nikueleweshe as tunafanya pair mbili index na crypto lkn ktk index tunatrade items ya eci na ewd hyo crypto kw mwez mara Moja kutokana na analysis zao hawatupi mara nying kwhy as tunapata San uhakika wa faida hupo humu Kuna maisha
Unazungumziaje performance ya mactominay jn??Huko ughaibuni kampuni kibao za crypto zimefilisika, bitcoin imeshuka toka milioni 150 mpaka 40, faida gani ambayo ipo kwenye crypto? watu wanauza machine zao za kuchimbia crypto sababu hailipi.
Nafasi anayopewa garnacho kwann prllistri hapewi??Mkuu labda nikueleweshe as tunafanya pair mbili index na crypto lkn ktk index tunatrade items ya eci na ewd hyo crypto kw mwez mara Moja kutokana na analysis zao hawatupi mara nying kwhy as tunapata San uhakika wa faida hupo humu Kuna maisha
DuaMkuu inatosha,mwenye interest atakutafuta.
Ho ni hisa za masoko ya ulaya kakacrypto inajulikana, Eci na EWD ni nini?